seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani
Jenerali ulimwengu anasema bunge lenyewe sio halali kwani wale wabunge wanaongea ongea sijui wanaongea kwa niaba ya nani maana sio wabunge halali
Anahoji,Je wale wabunge waliopita bila kupingwa kama Nnape Nnauye yupo bungeni anamuwakilisha nani ?Hawa waliopita bila kupingwa kwa mbeleko ni nani aliwachagua anahoji jenerali ulimwengu
Anahoji na wale 19 wanaoongea ongea ongea wanamuwakilisha nani? Maana walishafukunzwa kwenye chama hivyo wanapojadili mkataba wanajadili kwa niaba ya nani maana wao sio halali kuwepo bungeni
Anahoji na wale wabunge wa kuteuliwa na Rais wanawakilisha jimbo gani na wanaongea ongea kwa niaba ya nani?maana hakuna mwananchi aliwapigia kura