General Motors (GM) bankruptcy: End of an era? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

General Motors (GM) bankruptcy: End of an era?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bikra, Jun 1, 2009.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  General Motors filed for bankruptcy protection early Monday, a move once viewed as unthinkable that became inevitable after years of losses and market share declines capped by a dramatic plunge in sales in recent months.

  The bankruptcy is likely to lead to major changes and job cuts at the battered automaker. But President Obama and GM CEO Fritz Henderson both promised that a more viable GM will emerge from bankruptcy.

  In the end, even $19.4 billion in federal help wasn't enough to keep the nation's largest automaker out of bankruptcy. The government will pour another $30 billion into GM to fund operations during its reorganization.

  Taxpayers will end up with a 60% stake in GM, with the union, its creditors and federal and provincial governments in Canada owning the remainder of the company.

  Owners of GM cars should see little change as a result of the bankruptcy since warranties will still be honored. But there will be plenty of pain caused by the bankruptcy and the company's efforts to stem losses.

  GM will shed its Pontiac, Saturn, Hummer and Saab brands and cut loose more than 2,000 of its 6,000 U.S. dealerships by next year. That could result in more than 100,000 additional job losses if those dealerships are forced to close.
   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kwa mara na namna ya pekee kampuni hili kubwa sana hapa Marekani na duniani la General Motors (GM) limekiri kufulia. Katika ulimwengu wa kwanza na dunia kwa ujumla kampuni hili ambalo ni taswira ya Marekani duniani katika nyanja ya utengezaji na uundaji wa magari mfano chevrolets, hammer, nk. pamoja na kuwa na mfano mzuri wa kuigwa katika uongozi na hata kuwa katika mada za kujifunza uongozi katika kada mbalimbali za elimu ya uongozi na usimamizi wa mashirika duniani. Jinsi pia serikali ilivyoingilia kati kupasi kampuni hili baada ya kufulia ni jambo ambalo nchi yetu yapaswa kusoma au kujifunza jambo. Serikali haikuridhia kampuni kubinafsishwa au kuuzwa kwa makaburu kama sisi tungeweza kufikiri ndio suluhu ya mwisho. Je, GM na mashirika yetu nyumbani yaliyofulia, tunajifunza nini? Je yalifulia kwa mtindo huo wa GM? Nini cha kufanywa na serikali yetu kama somo kutoka kwa GM kwa viwanda na makampuni yetu yaliyofulia ukiachana na hali ya uchumi kwa ujumla?
   
 3. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  ingekuwa ni serikali ***** ya TZ ingekubali tu.Cha ajabu kesho wakija wamarekani na kusema muuze TANESCO asimilia 100% kwa makaburu au wazungu wengine watakubali tu wakati hao wazungu hawataki kuuza ya kwao.mfano British airways ni ya serikali,british Rail ni ya serkali.kwanini wewe unauza ya kwako.Sasa wamerakani wanarudi kwenye ujamaa mdogo.wanaongeza mitaji na kuchukua shares kwenye makampuni yao makubwa.kibao kinabadilika
   
Loading...