General manager the arusha hotel kuwekwa kizuizini

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Kwa wana JF,

Habari iliyo nijili hewani sasa kutokea huko Mkoani arusha ni kuwa General Manager wa The Arusha Hotel Au New Arusha Hotel ambae ni Mzungu kutokea Huko South Afrika amewakwa kizuizini na Afisa Uhamiaji kwa Kile wanachosema kufanya kazi Bila kibari cha kufanyia kazi WORK PERMIT.

Hii nahisi ni kile kilichotokea huko Dar baada ya mkuu wa kampuni moja huko da kusema amewaweka mfukoni maafisa uhamiaji kwa tuhuma za kuwa wanatoa vibari feki au kuwaacha wahamiaji kuja fanya kazi huku wakiwa hawana Work Permit.

Nadhani sasa Idara ya Kazi inabidi ijipange upya na kutizama upya sheria ya ajira za wageni ndani ya nchi yetu na wakija wanatakiwa kuwepo kwa muda gani na wanatakiwa ku renew work permit kwa vigezo gani maana twajua fika wapo wageni wengi sana na mbaya zaidi ni mabosi wengi kwenye makampuni huko na huwanyanyasa sana wazawa kuanzia mishahara mahitaji muhimu laki serikali yetu inalitizama tu na uhamiaji wawe wakali kuanzia njia zote wageni waingiapo edu nenda India kama utaajiri wewe mtanzania kirahisi huko.

More detalis ntawajuza nikizipata toka huko Arusha

Karibuni kwa Maoni
 
Back
Top Bottom