Gender Doesn’t Lead, Brains Do

Gender Doesn’t Lead, Brains Do

Ukweli uko wazi wanawake hawawezi ,sehemu za kazi wanasumbua sana ..Wanawekwa mimba na excuses za kijinga ,kilq siku wanamepa emergency ..Wangetulia tu kutokana na Maumbile yao ...Mwingine kuanza Mimba mpaka kukifunga hayuko sawa na hapo mtoto mpaka afile miaka 2 mpaka mitano ila hapo kati utasikia ' Mwanangu anaumwa ''

Mwanamke hata awe mkubwa hana uwezo wa kuongoza ni vile tu dunia inalazimisha.
Wapo wanawake wenye uwezo mkubwa wa kuwa CEOs wa makampuni makubwa au hata maraisi.

Tuna raisi wa Namibia ambae tangia aingie madarakani amefanya maamuzi kadhaa magumu ya kuitengeneza Namibia ichukue mkondo mwingine kwenye sera ya mambo ya nje.

Ila wengi kati ya hao hudondoka kutokana na kuingiza "emotions" kwenye kufanya maamuzi magumu ambayo hupelekea makampuni kupata matatizo ama ya kisheria au kifedha.

Lakini bado wapo wanawake makini lakini ni wale ambao wametengenezwa kwa ajili hiyo.

Rwanda benki kuu yao gavana ni mwanamke, Umoja wa mataifa taasisi nyingi chini yake zaongozwa na wanawake, raisi wa Umoja wa Ulaya ni mwanamke, mkurugenzi wa IMF ni mwanamke na kadhalika, lakini wote hawa ni zao maalum na kwa makusudio maalum.

Kwahiyo, statement yako itakuwa fair ikiwa itabalance the equation kuliko kuwamaliza kabisa na kuwatupa kwani wapo wanawake ambao wana ubongo ufanyao kazi barabara.

Tulikuwa na wanawake kama Condoleezza Rice ambae alikuwa ni mwanamke shupavu na asietetereka katika kutetea sera ya mambo ya nje ya Marekani na kabla yake alikuwepo Madeline Albright ambae kisifa alikuwa ni mtaalam wa diplomasia na sayansi ya uchumi (katengenezwa) hivyo akija kwao uwe umejiandaa.

Hivyo, ipo nusu ya wanawake ambao ni lazima ategemee uanamke wake kusonga mbele lakini wapo watu maalum ambao wakiona potential kutoka kwa msichana mdogo fulani, basi humchagua na kutengeneza na ndo uwaonao leo.

Ila Tanzania haina bahati ya kuwa na wale mazee wa kutengeneza vision au "state crafters".

NB: Definition of Statecraft- The skillful management of state affairs.
 
Wapo wanawake wenye uwezo mkubwa wa kuwa CEOs wa makampuni makubwa au hata maraisi.

Tuna raisi wa Namibia ambae tangia aingie madarakani amefanya maamuzi kadhaa magumu ya kuitengeneza Namibia ichukue mkondo mwingine kwenye sera ya mambo ya nje.

Ila wengi kati ya hao hudondoka kutokana na kuingiza "emotions" kwenye kufanya maamuzi magumu ambayo hupelekea makampuni kupata matatizo ama ya kisheria au kifedha.

Lakini bado wapo wanawake makini lakini ni wale ambao wametengenezwa kwa ajili hiyo.

Rwanda benki kuu yao gavana ni mwanamke, Umoja wa mataifa taasisi nyingi chini yake zaongozwa na wanawake, raisi wa Umoja wa Ulaya ni mwanamke, mkurugenzi wa IMF ni mwanamke na kadhalika, lakini wote hawa ni zao maalum na kwa makusudo maalum.

Kwahiyo, statement yako itakuwa fair ikiwa itabalance the equation kuliko kuwamaliza kabisa na kuwatupa kwani wapo wanawake ambao wana ubongo ufanyao kazi barabara.

Tulikuwa na wanawake kama Condoleezza Rice ambae alikuwa ni mwanamke shupavu na asietetereka katika uttea sera ya mambo ya nje ya Marekani na kabla yake alikuwepo Madeline Albright ambae kisifa alikuwa ni mtaalam wa diplomasia na sayansi ya uchumi (katengenezwa) hivyo akija kwao uwe umejiandaa.

Hivyo, ipo nusu ya wanawake ambao ni lazima ategemee uanamke wake kusonga mbele lakin wapo watu maaum ambao wakiona potential kutoka kwa msichana mdogo fulani, basi humchagua na kutengeneza na ndo uwaonao leo.

Ila Tanzania haina bahati ya kuwa na wale mazee wa kutengeneza vision au "state crafters".

NB: Definition of Statecraft- The skillful management of state affairs.
Hakuna kitu kama hicho ,unatakiwa kujua Raisi hana nguvu ya kuipeleka nchi kama unvyofikria ...Nchi ina watendaji wengi waliomzidi hata uwezo huyo Rais ...Rais hata aww hajasoma anweza kuongoza nchi : yes anaweza! Kihistoria hakuna maendeleo yameletwa na mwanake labda kufuata mfumo wa kiasili.

Hakuna na hakutokuja kutokea ,hakuna mtu kawarudisha nyuma wanawake ila ni asili ,hizo achievement hazina maana ni sawa wa kufuata mto mpaka unatokea unapomwaga maji baharini ...Wanawake hawana kipya wameleta hapa duniani zaidi ya kuzaa,siwadhalilishi ila ni ukweli.

Unaweza kaletea Bank maendeleo, bank zote zinakandamiza watu kupitia riba na mikopo umiza hakuna kipya hapo , biashara za bank ni mifumo ya wayahudi na kule kwao wanawakw hawana nafasi ..So huyo mwanamke amekariri mifumo fulani na kufanya utekelezaji ila hamna kipya hapo🤣🤣🤣

Raisi wa Namibia ,labda kama kama na mfumo mpya ila kama ni demokrasia ni mifumo ilishawekwa na wanaume miaka mingu🤣🤣😞
 
Sijaongelea raisi kuwa na nguvu au nyenzo ambazo huzitegemea kutekeleza majukumu yake ya kuongoza nchi.

Kiongozi au kuongoza ni kuonyesha njia au maono "vision" na ukiwa na kiongozi mwanamke ambae afanya hayo basi tiyari una kiongozi.

Kwa mfano endapo raisi Samia angekuja na kauli yake ya kwanza kwamba " Mimi ntaendeleza maono yote ya hayati JPM- ikiwemo kumaliza (kwa wakati ulopangwa) bwawa la Mwalimu Nyerere, leo hii umeme ungekuwa historia nchini.

Au angesema ntaendeleza kazi ya kuhakikisha Air Tanzania yaruka kwenda London kila mara, lakini leo hii Air Tanzania imepigwa ban kwenda bara la Ulaya kwa kuogopwa rekodi yake ya usalama wa vyombo vyetu, hii ni big failure ambayo si tu kule juu basi huenda imesababishwa na wale walio chini maana wamekosa usimamizi na kutofuata strategy na vision ya kiongozi.

Mfano mwingine ni Condoleezza Rice kwamba alipokuwa akiwasilisha mada pale baraza la Usalama la UN, wanaume wengi walikuwa tayari kukimbia mle ndani kutokana na ile tu ongea yake (rhetoric) yaani uwezo wa kuwasilisha mada yenye ufanisi ya ushawishi bila kutetereka.

Ndo maana nimesisitiza point yangu kwamba wapo wanawake ambao wana uwezo ambao huongezewa na uwezo wa ziada hata kama wamekuta kila kitu tiyari kimetayarishwa.

Kwani, hawa wanawake hawaandiki tafiti mbalimbali ambazo watu huzisoma, ambazo huwapa second thought wale wanowachagua kuongoza?

Ila pia usemayo yana ukweli kiasi chake lakini pia si kweli kwamba wanawake hawawezi kabisa na kwamba wao ni jikoni, bado wapo wale wenye potential za kuwaendeleza kuja kuwa viongozi wazuri tu.
 
Kuanza kuweka usawa ni tatizo lako ,hapo tu angalia vizuri akili yako ...Neno ''Mwanamke'' na ''Mwanaume'' sio sawa kabisa
 
Mgosi (kama ni wa Tanga) weye Mtanga wa wapi usieelewa nilichoandika?

Wapi nimeongelea au hata kugusia usawa?

Nimeongelea "merit" na sio equality.

Akili yako uishughulishe kufikiri critically.

Sie wanaume ndo twakosea kuchagua candidates wa kike kwa mfumo wa nepotism badala ya sifa sahihi.
 
so

kaangalie kama ubongo wa mwanamke na mwanaume kama ipo sawa.
 
Cha muhimu ni uwezo wa kiuongozi anaokuwa nao mtu, masuala ya mtu kuwa na koromeo au kutokuwa nalo ni simulizi tu za mitandaoni.

Wapo viongozi wa kike waliofanya maajabu wakiwa ni wavaa sketi kuliko wavaa suruali.

New Zealand ilikuwa na dada kiongozi kipindi kile cha covid 19 alifanya kazi ya maana sana kulinganisha na marais wanaume ambao walijikita kwenye ubishi na majibizano huku wapiga kura wao wakiteketea kwa mamilioni.

Wanawake wana moyo wa ubinadamu moyo wa kujali, wanaume wanatanguliza ujuaji mara nyingi hawajali kwa undani kuhusiana na watu wanaowaongoza.
 
Turudi kwenye kiswahili kwanza. Maana hapa ni Kama unamsimanga mtu..na si hatuelewi unamsimangaje
 
Back
Top Bottom