Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
interesting, sikudhani swala la mwanamke kufanya kazi lilikuwa lina mjadala kibiblia, ehe ebu niambie Mungu wa biblia anasemaje kuhusu hili? ongezea vile vile kusoma, kupiga kura, kuwa kiongozi, kumiliki mali na mengineyo tafadhali.
Kama hukujua hili kwanini ulimpinga mtoa mada?