1. unaamini vipi "wataalamu wa nyota" halafu unamalizia na hoja za kibiblia? yaani unaanzisha hoja kwa
2. Ni kweli kihistoria ilianzia na huyo mama lakini gender equality ya leo haina uhusiano wowote na masuala ya kiimani. Inahusiana zaidi na masuala ya kijamii zaidi.
kutoka wikipedia: "Gender equality, also known as sex equality or sexual equality or equality of the genders, implies that men and women should receive equal treatment, unless there is a sound biological reason for different treatment". Leo, gender equality inapigania vitu kama mishahara sawa kwa kazi sawa kati ya mwanaume na mwanamke, fursa sawa za elimu, fursa sawa za kumiliki mali n.k sidhani kama kuna utata wa hili kibiblia.
Nakubaliana nawe kidole007. shetani kupitia mwanamke anaangamiza dunia. Huo usawa ndio umewafanya wengi kuwa divorced na kusababisha single parenting. Matokeo ya single parenting wote tunayajua.
1. Asilimia kubwa ya wasanii wanaojishughulisha na sembe wamelelewa singly.
2. Asilimia kubwa ya wabwia unga -mateja wamelelewa singly.
3. Asilimia kubwa ya wadada poa wamelelewa na mama zao tu
4. Asilimia kubwa ya mashoga wamelelewa na mama zao pekee.
5. Asilimia kubwa ya walio magerezani -wahalifu wamelelewa na mama zao.
The list is endless. Pia ukiangalia wanaokwenda kwa waombeaji , wanawake wengi ndio wanaokena kuwa na mapepo. Na wengi pia hujishughulisha na waganga wa kienyeji. Yote hayo ni kazi ya shetani.
Kwa wale wanaopinga hawatagundua hadi yatokee kupitia kwa wake zao.
4
1.Asthrology ni science kama science nyingine
wapi kwenye bible wamesema elimu ya nyota ni against christianity?
Refer: wise men from the east walivyo fata nyota had bethlehem kumwona yesu kazaliwa
kasome methew 2 ,luke 2
2. Ndio mpango wa shetan kuweza kufanya vitu unGodly viwe kawaida
hapo wewe unaona its only rights
right to own property, right to get same pay for same job, etc mazoea hayo unayo yaona madogo na ya kawaida ndo yameleta right to same sex marriages
bado hushtuki?
1. Kwanza ni Astrology si hivyo ulivyoandika. Pili Astrology (elimu ya nyota) si sayansi refer hapa.
2. Lingine ni kuwa kiujumla elimu ya nyota inaangukia katika masuala ya Divination, kutabiri nini kitatokea kesho n.k kupitia uchawi ambayo makanisa yote kiujumla yanapinga. kuhusu mistari soma hii michache.Deuteronomy 4:19 na Isaiah 47:13. Wewe unasali kanisa gani linalotumia elimu ya nyota? mambo ya kuvaa pete ya madini fulani kulingana na mwezi uliozaliwa, rangi za nguo kulingana na siku n.k?
3. sasa same sex marriages zinahusiana vipi na dhana ya gender equality mbona unachanganya mambo? unataka kuniambia Mungu wa kikristo anapenda Mwanamke alipwe mshahara pungufu ya mwanaume wakifanya kazi ile ile, cheo kile kile? Mwanamke asiwe na haki ya kuwa kiongozi, asipige kura, asimiliki mali...Huu sio ukristo mkuu. Nionyeshe how "ungodly" gender equality is katika haya mambo niliyoyataja mfano mishahara, umiliki mali n.k
Kama ambavyo shetani aliharibu dunia kipindi kile kwa kumtumia eve(mwanamke).....imeandikwa sijui wapi kuwa siku zile za mwisho zikikaribia, shetani atamfuata rafiki yake wa zamani(mwanamke) kuiharibu dunia tena, kwa sababu ndiye dhaifu kwake.... Na kwa kuwa mwanamke yuko material(anapenda gari, nyumba, pesa, samsung galaxy, watsup etc) sana itakuwa rahisi kumrubuni tena. Ndio haya yamekuja 1.haki sawa kwa mwanamke na mwanaume...un ni taasisi ya kishetani 2. Na sasa anataka kubadilisha adhabu ya kwanza aliyopewa mwanamke ya kwamba atazaa kwa uchungu...though bado anapata tabu coz hata kama hujapata uchungu utapewa maji ya uchungu coz mungu alisema utazaa kwa uchungu....ingawa bado shetan anajitahidi kulibadilisha hili, ndo maana wanawake siku hz wanataka kupigwa kisu kuliko kuzaa kwa kawaida...devil at work. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone.....sio unashinda kuangalia series za wafilipino...zinazoonyesha ushoga ni hali ya kawaida kwenyewe jamii.....coz mwisho dume lako la mbegu likija banduliwa uone kawaida.....weak up guys ..........
if God is only a fabrication,
probably you have no right to raise argument on this thread
let the christians decide
correction in every place i used astrology
i shud have used astronomy
so it is astronomy and not astrology
After all Kiranga is talking about god and not God dude....so let it vanish within a thin air..!! Those who are saying something about God the ground is ok for them to discuss God and not god...
Only a lunatic would not believe in existance of God the creator.
Why shouldn't I have the right to raise arguments on this thread?
Why should this thread be limited to Christians?
Is this Christiansforums or Jamiiforums?
You still have questions unanswered.
as i said gender equality is against
1.nature
2.biology
3.and Gods words/bible
so since u dont believe in Gods existence
u can still challenge the remaining two points
First of all you are shifting between gender balance and gender equality. The two are not the same.
I meticulously pixelated the difference.
Do you even know the difference between gender balance and gender equality?
gender balance and gender equality are used interchangeably,
practically there is no difference,
if u happen to know the difference why dont u share so any one can see it here
correction in every place i used astrology
i shud have used astronomy
so it is astronomy and not astrology
sijasoma yote, but seems hujui unachokiongelea wala kukielezea, rudi tena kasoma na kasome, kukurupuka na kumeza vitu vizima vizima utakuwa chizi.
Are you suggesting that God is for Christian believers only? Hopefully not.