PostGE2025 Gen Z sio kizazi cha wafia dini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae

Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini

Wengi wana 'question' kuhusu uhalisia wa dini na uwepo wa Mungu.. Kinachotokea ulaya ndio kinakuja Afrika... Dini zinapoteza maana

Badala yake wanaibuka watu binafsi kwa gia za unabii na utume(manabii na mitume) ambao wameshasoma mchezo na kupiga ndefu
Gen Z hawataki habari za uzima wa milele wala habari za kiama.. Wanataka miujiza! Wanataka matokeo..
Bongo zao zimekuwa inserted na mafanikio ya haraka ya pesa, mali na vitu vinavyoonekana kama magari, majumba mazuri mavazi ya gharama nknk ! Ndio maana wamejazana kwa watenda miujiza

Ukiwaona wamejazana mahali pa dini basi ujue ni zile za matamasha ambako kina mavazi free style na vibes za mila aina.. Ama kuna miujiza ya uponaji na mafanikio ya kimaisha
Gen Z sio wanasiasa hasa wenye mrengo wa kijamaa.. Hiki ni kizazi cha kibepari.. Kizazi cha bata na starehe.. Kazi kidogo mafanikio makubwa na ya fasta

Kuna kitu cha kipekee sana kinawaunganisha. Na sio siasa wala dini.. Kuna namna yao ya kuwaza, na kutenda.. In short wako positive sana!
Wameshuhudia kwa maumivu makubwa
Waliowaamini kama watu wa Mungu na washika dini ndio hao hao, waliowabaka, waliowalawiti, walio cheat kwenye ndoa zao ndio wauaji, wapiga dili waongo wanafiki na wazandiki wakubwa

Wameshuhudia wakihubiriwa upendo na amani kwa ncha ya upanga na mabunduki
Wameshuhudia wahubiri upendo na amani ndio watesaji na wauaji wakubwa
Hawana imani nao.. Ha wawa amin I linapokuja suala la upendo na amani

Wameshasaidiana wao kwa wao na kuvushana katika hali ngumu na za hatari kuliko hao washika dini na wana siasa!

Gen Z ni dini mpya, no itikadi mpya ni ushirikiano mpya ni mshikamano mpya visivyoyumbishwa na itikadi chovu za kidini.. Wasichukuliwe poa
 
Kama vipi bakwata wajipange tu upya. Hii episode yao ya kutaka kuitumia dini kutugawa, watambue tu imebuma. Na kama walipewa hela au sahani za ubwabwa kama malipo ya kazi, basi wafanye tu wazirudishe kwa mwenyewe/wazitapike.
 
Simple difinisheni ya dini ni Upendo,mpende mwenzako kama unavyojipenda,Gen z hii concept wameinyaka mapema kuliko sisi wakale nahisi ni kutokana na ulaji mwingi wa ugali na maharage
 
.
 
Attachments

  • 1763707076596.Screenshot_20251121-093719.jpg
    1763707076596.Screenshot_20251121-093719.jpg
    78.7 KB · Views: 15
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae

Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini

Wengi wana 'question' kuhusu uhalisia wa dini na uwepo wa Mungu.. Kinachotokea ulaya ndio kinakuja Afrika... Dini zinapoteza maana

Badala yake wanaibuka watu binafsi kwa gia za unabii na utume(manabii na mitume) ambao wameshasoma mchezo na kupiga ndefu
Gen Z hawataki habari za uzima wa milele wala habari za kiama.. Wanataka miujiza! Wanataka matokeo..
Bongo zao zimekuwa inserted na mafanikio ya haraka ya pesa, mali na vitu vinavyoonekana kama magari, majumba mazuri mavazi ya gharama nknk ! Ndio maana wamejazana kwa watenda miujiza

Ukiwaona wamejazana mahali pa dini basi ujue ni zile za matamasha ambako kina mavazi free style na vibes za mila aina.. Ama kuna miujiza ya uponaji na mafanikio ya kimaisha
Gen Z sio wanasiasa hasa wenye mrengo wa kijamaa.. Hiki ni kizazi cha kibepari.. Kizazi cha bata na starehe.. Kazi kidogo mafanikio makubwa na ya fasta

Kuna kitu cha kipekee sana kinawaunganisha. Na sio siasa wala dini.. Kuna namna yao ya kuwaza, na kutenda.. In short wako positive sana!
Wameshuhudia kwa maumivu makubwa
Waliowaamini kama watu wa Mungu na washika dini ndio hao hao, waliowabaka, waliowalawiti, walio cheat kwenye ndoa zao ndio wauaji, wapiga dili waongo wanafiki na wazandiki wakubwa

Wameshuhudia wakihubiriwa upendo na amani kwa ncha ya upanga na mabunduki
Wameshuhudia wahubiri upendo na amani ndio watesaji na wauaji wakubwa
Hawana imani nao.. Ha wawa amin I linapokuja suala la upendo na amani

Wameshasaidiana wao kwa wao na kuvushana katika hali ngumu na za hatari kuliko hao washika dini na wana siasa!

Gen Z ni dini mpya, no itikadi mpya ni ushirikiano mpya ni mshikamano mpya visivyoyumbishwa na itikadi chovu za kidini.. Wasichukuliwe poa
Ccm waliona kete ya udini iliwabeba kwa kiwango fulani huko nyuma, wanadhani hata sasa itawabeba. Hawajui kizazi cha sasa kinajua imani hairuhusu matumizi ya akili, bali unyenyekevu pasipo kuhoji, kitu ambacho sio cha kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom