Mkuu Kiranga, si nasikia kuna clause fulani kwenye mahazimio ya AU inayo katakaza Wanajeshi kuongoza nchi! Au inahusu "Coup d'état"?
Ngoja Koba na murutongore waje hapa
PK tunamsema mambo mengi, mengine yana ukweli ndani yake lakini mengine ni uzushi mtupu! Mfano: Huyu Gen Nyamwasa kutaka kutoa impression kwamba PK ni mtu COWARD hii haina ukweli wowote, hivi mtu unaweza kujificha kwenye migomba watu wakashindwa kumuona! Angesema msituni au kwenye swamps ningeweza kumuelewa. Kitu kingine kama kweli Kagame alikuwa anachukiwa na majeshi ya RPF aliwezaje kuwashinda wenzake KETE na kuteuliwa Kiongozi wao wa mapambano - hata kama Kagame hajasoma sana lakini ana karama ya Uongozi na actually kusoma sana akumanizishi una uwezo wa kuongoza wenzako.
Fred alipo uwawa Kagame alikuwa bado yuko masomoni Merikani, sasa kama Gen Nyamwasa alikuwa na uwezo wa kuongoza mapambano kwa nini wenzake waliona kuna umuhimu wa Kagame kukatisha masomo yake na kuja kuongoza jeshi lao - hii inatoa impression gani kuhusu uwezo wa kiuongozi kati ya Majenerali hawa wawili i.e PK na Nyamwasa?
Niliwahi kumuona PK anatembea kwa miguu akiongoza wenzake kwenda mstali wa mbele huku ameshikilia AK47, na kama nakumbuka vizuri ndio alikuwa amatoka masomoni Merikani kuja kuongoza jeshi lao - mbona sikumuona Gen Nyamwasa au yeye alikuwa anaongoza platoon/brigade nyingine!!! Si hilo tu niliwahi vile vile kuona picha ya PK iliyo pigwa huko DRC wakati wa harakati za kumuondoa Mobutu, kwenye picha alikuwepo Kabila Jr wakati huo Kabila Jr alionekana mdogo sana kiumri! Katika picha hiyo Kagame alionekana wazi wazi ndie alikuwa incharge - sasa haya madai ya kusema eti "PK ni mtu MWOGA sana" yanatoka wapi!!
"Show me a man with no enemies and I will show you a man with no MISSION no PURPOSE no PASSION and no COURAGE. Having a few enemies is EVIDENCE you are actually ALIVE and not dreaming!!"- SCOT GOODKNIGHT
"If people are criticizing what you say or do that's GOOD. It means you aren't hiding out with all the sheeple. Having a few enemies is just a sign you have a purpose. Proceed on your mission Heroes." SCOT GOODKNIGHT
Endelea Kuchapa kazi Raisi wangu. Kagame wacu. Turamukunda.
I guess Iddi Amin died a hero to you judging by the number of his enemies.
Mkuu huwezi kuwa muoga ukawa kiongozi wa Rwanda. Hiyo haipo. Kagame ni binadamu na binadamu yeyote ana mapungufu. Nimejaribu sana kuwaambia kuwa situation ya Rwanda ni tofauti na situation ya nchi yeyote duniani except Israel. Sio kwamba tunataka kujifananisha na wa israel lakini situation yao ni kwamba wapalestina wakipata nafasi wanawamaliza waisrael wote. Vivo hivyo, wahutu wakipata nafasi watataka kutumaliza. Hiyo ndio nia yao.
Kagame ni kiongozi visionary ambae haogopi kufanya maamuzi magumu. Mara nyingine hayo maamuzi hayawafurahishi watu lakini kwa kiasi kikubwa ni kwa manufaa ya taifa lake. Matunda ya maamuzi yake hayawezi kuonekana na kizazi hiki lakini ipe miaka kumi ishirini mbele ndio watu wataanza kuona matunda ya kazi anayoifanya.
Huyu raisi ni wa pekee katika ukanda huu. Yeye sio mwanasiasa. Yeye ni kiongozi anaeongoza nchi kwa vitendo. Hawa akina Nyamwasa ni watu ambao wameshindwa kwenda na kasi yake ndio maana akaondoka.
Kama hiyo ndo nia yao inakuaje kwenye uchaguzi Kagame anapata ushindi wa kishindo wakati wahutu ni wengi kuliko nyinyi?
Halafu kuna watu, kutoka Bill Clinton mpaka baadhi ya Watanzania, wanamsifia sana Kagame.
Kama hiyo ndo nia yao inakuaje kwenye uchaguzi Kagame anapata ushindi wa kishindo wakati wahutu ni wengi kuliko nyinyi?
"Show me a man with no enemies and I will show you a man with no MISSION no PURPOSE no PASSION and no COURAGE. Having a few enemies is EVIDENCE you are actually ALIVE and not dreaming!!"- SCOT GOODKNIGHT
"If people are criticizing what you say or do that's GOOD. It means you aren't hiding out with all the sheeple. Having a few enemies is just a sign you have a purpose. Proceed on your mission Heroes." SCOT GOODKNIGHT
Endelea Kuchapa kazi Raisi wangu. Kagame wacu. Turamukunda.
Let us be objective...Kagame ni kiongozi anayefaa, matokeo ya kazi yake yanaonekana. Inawezekanma njia anayotumia si nzuri, lakini paka anayekamata panya ndio anayefaa...