Shida ya hawa watutsi ni kwamba, kuua kuko katika damu yao nadhani!...ndo mana hata kuuana wao kwa wao hawaoni shida kabisa; sasa hivi wanaionyesha dunia kuwa wao ni watu wa aina gani!.... wale waliowaonea huruma juu ya tukio la "genocide" sasa watajua kuwa "they were lured", waliosababisha genocide ni hao hao wanalalamika kuwa "ndugu" zao ndio walikufa wengi wakati wa tukio hilo la kishetani.... nahisi mwisho wa siku pk atajinyonga mwenyewe.... damu ya mtu haiendi bure...Mkuu kama Maj Gen Fred Rwigema asingeuwawa mapema kwenye mazingiza ya kutatanisha - Rwanda insingetumbukia kwenye mauuaji ya halahiki yaliyo sababishwa na kutunguliwa kwa ndege ya Habyarimana, Fred asingeruhusu mauaji ya kikatili ya Rais wawili (Rwanda na Burundi) nina hakika PK anajua wazi chanzo cha genocide kilisababishwa na nini - hilo huwa alisemi. Maj Gen Fred alikwa na busara sana na hakuwa na papara, binafsi na amini angehakikisha Rwanda inatawaliwa kijeshi kwa muda, alafu baadae angekabidhi madaraka kwa raia - wananchi wa Rwanda wangeishi kwa amani bila ya kuleta imani za kikabila. Kilicho nishangaza kidogo kwenye mahojiano ya Gen Nyamwasa na mwandishi wa habari ni kule kutogumzia chochote kuhusu kwa nini Maj Gen Fred aliuwawa karibu mpakani mwa Rwanda na Uganda hata kabla hawajapambana na maadui wake (majeshi ya Habyarimana), sasa kama kabila lenyewe wanafikia hatua ya kuuana wenyewe kwa wenyewe tuna uhakika gani kama Gen Nyamwasa akichukua usukani mauuaji ya kulipiza visasi yatakoma nchini Rwanda?