Tatizo lililokuwa limelikumba jeshi letu la ulinzi ni madai ya uingizaji wa siasa jeshini, na chembe za udini kushamiri ndani ya jeshi.
Simujui kwa undani Jenerali Ndomba, lakini kwakifupi inatajwa kuwa huyo ni moja ya masalia imara ya vijana wa Mwalimu Nyerere walioamini katika UZALENDO.
Nimtu mashuhuri mwenye uso wa kijana akijitunuku tabasamu la nidhamu ya kijeshi, wadadisi ndani ya SIASA za kijeshi wanamtaja kuwa ndie mrithi stahiki wa Mkuu wa Majeshi Aden Mwamunyange.
Anatajwa kuwa ni kijana na tokezo la akina Jen Waitara, Jen Mboma na Jen Mwamunyange.
Naamini katika safari hii iliyo ndefu na inayokaribia ukingoni yakulikomboa Taifa letu, General Ndomba asiwe kikwazo wa mageuzi haya ya kiraia yenye kuongozwa na alama za nyakati ambazo kihistoria na kimaandiko hazijawahi kupingwa kwa mtutu wala kombora.
Ni kweli, maelezo ya Kurugenzi ya Habari, Ikulu, siku zote ni shallow, japo ningependelea zaidi resume kuliko biography unayosema. Maelezo yao ni shallow for a reason, hawana cha kusema! Huyo mtu hawawezi kukupa historia ndefu wala fupi ya chochote alichofanikisha huko JKT mpaka akapewa cheo kingine, na kama kipo kizuri sio hicho kilichofanya akapewa cheo, kwa saabu kwanza hawakijui, pili hawakijali, mfumo wetu hauzawadii performance and competence, hizi ni random appointments tu...Tungepata biograph yake gefaa zaidi. Maana maelezo yaliyotolewa ni shallow.
ndo hivo!mnadhimu mkuu kwa ukubwa wa jeshi letu lazima awe luteni kanali na ni mmoja tu nchi nzima,kwa hiyo lazima apandishwe na niyeye pekee mwenye cheo hicho!Nampongeza sana!
Hapo penye red ni LUTENI JENERALI na si LUTENI KANALI.ndo hivo!mnadhimu mkuu kwa ukubwa wa jeshi letu lazima awe luteni kanali na ni mmoja tu nchi nzima,kwa hiyo lazima apandishwe na niyeye pekee mwenye cheo hicho!Nampongeza sana!
Ndugu yangu, mazingira ya sasa yanalazimisha wote waliovaa uzalendo wajivue, sina uhakika kama Jenerali Ndomba ataendelea kuuvaa. Time will tell!!Simujui kwa undani Jenerali Ndomba, lakini kwakifupi inatajwa kuwa huyo ni moja ya masalia imara ya vijana wa Mwalimu Nyerere walioamini katika UZALENDO.
Ana sifa ndio maana kateuliwa si kwa sababu ya Ukristo, ndugu zangu kwa huu udini wenu hamtafika kokote.Huo ni unafki sema kwa sababu kamteua MKRISTO huna chochote wewe.
mkuu wa majeshi ni davis mwamunyange,aden ni ndugu yake alikuwa jeshi la polisi sasa kastaafu.Tatizo lililokuwa limelikumba jeshi letu la ulinzi ni madai ya uingizaji wa siasa jeshini, na chembe za udini kushamiri ndani ya jeshi.
Simujui kwa undani Jenerali Ndomba, lakini kwakifupi inatajwa kuwa huyo ni moja ya masalia imara ya vijana wa Mwalimu Nyerere walioamini katika UZALENDO.
Nimtu mashuhuri mwenye uso wa kijana akijitunuku tabasamu la nidhamu ya kijeshi, wadadisi ndani ya SIASA za kijeshi wanamtaja kuwa ndie mrithi stahiki wa Mkuu wa Majeshi Aden Mwamunyange.
Anatajwa kuwa ni kijana na tokezo la akina Jen Waitara, Jen Mboma na Jen Mwamunyange.
Naamini katika safari hii iliyo ndefu na inayokaribia ukingoni yakulikomboa Taifa letu, General Ndomba asiwe kikwazo wa mageuzi haya ya kiraia yenye kuongozwa na alama za nyakati ambazo kihistoria na kimaandiko hazijawahi kupingwa kwa mtutu wala kombora.
Asimilia 50 kama sio 90 ya muda wa huyu mtu wetu ni kuteua na kuapisha! Katiba iangalie suala la matumizi yenye tija ya muda wa Rais, hawa waende wakaapishwe na mahakimu wa wilaya na mikoa huko, kama ni lazima saaana aape mbele ya mtu, au atumwe huyo Sefue awe anazunguka kuwatembelea wateule, anapowaba barua ya uteuzi mtu akikubali cheo hapo hapo anawasainisha makaratasi, mchezo kwisha. Ushawahi kuona Rais Obama, kwa mfano, anaapisha mtu? ...hana muda huo.
Ni kweli, maelezo ya Kurugenzi ya Habari, Ikulu, siku zote ni shallow, japo ningependelea zaidi resume kuliko biography unayosema. Maelezo yao ni shallow for a reason, hawana cha kusema! Huyo mtu hawawezi kukupa historia ndefu wala fupi ya chochote alichofanikisha huko JKT mpaka akapewa cheo kingine, na kama kipo kizuri sio hicho kilichofanya akapewa cheo, kwa saabu kwanza hawakijui, pili hawakijali, mfumo wetu hauzawadii performance and competence, hizi ni random appointments tu...
Na ni wajanja sana, tangazo linatoka leo wanakwambia uteuzi umeanza juzi! Unaishiwa na nguvu ya kuhojihoji chochote...too late! Well, yana mwisho, during the next Katiba tunataka kuambiwa Rais amemteua fulani bin fulani kuwa mkuu wa jeshi fulani na uteuzi utaanza pale Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama itakapompitisha, kama itampitisha! Meanwhile wananchi waendelee kulisaidia Bunge kwa kumchambua na kumchimba kazaliwa nchi gani, kasoma wapi, kafanikiwa kwenye kazi gani, kaiba wapi na kazaa na nani na nani!
Sijui kwa nini Watanzania hatuulizi background ya mtu, asilimia 60 ya watanzania walimchagua mtu kuwa Rais ambae hatujui ana watoto wangapi, asilimia 40 nyingine tukampigia kura mtu ambae hatujui kwa nini alivuliwa upadri!
naona kanali anawapa vyeo majenerali