Gemstone Gani Hii

Gemstone Gani Hii

Yanauzwa kwa kilo kama sijakosea, jina lake limenitoka kidogo, kilo ina range kati shs 500,000 - 700,000
 
Naitaji kujua tuu nimekutana na hii clip mahali..
Ukiyakuta huwa yanapatikana kwa wingi sana na wakati mwingine huwa yanauzwa kwa tani kati ya milioni mbili mpaka tano, yanapatikana sana upande wa Zambia
 
Back
Top Bottom