Huko mahakamani ndio hachomoki Kibatala akiishika hii kesi inaisha mapema tu.Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Huko mahakamani ndio hachomoki Kibatala akiishika hii kesi inaisha mapema tu.Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Jo, Mwenyekiti na Rais ana vyombo vingi vya kumpa taarifa sahihi, ndio maana akamtumbua,Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema [emoji1]
Chupa aliingizwa akiwa eneo la kazi au kwao?Kwa kweli jambo analotuhumiwa nalo Pauline Gekul ni zito sana na linaleta ukakasi sana akilini!
Siungi kabisa tabia ya kujichukulia sheria mkononi.
Ila pia lazima tukubali kwamba tuna jamii yenye matatizo makubwa sana!
Tuna Jamii yenye kupenda kutoa maamuzi pasipo kusikiliza pande zote.
" Nobody should be condemned unheard" , hear both parties!
Hiyo ni principle ya natural justice.
Huyo Kijana anasema, Pauline Gekul aliagiza wavuliwe nguo waingiziwe chupa!
Sasa watu wamesha conclude kwamba waliingiziwa chupa, je imethibitika kwamba waliingiziwa chupa?!
Binadamu tuna mambo mengi sana,yawezekana pia ikawa vijana baada ya hilo sakata wakawa coached na wabaya wa Pauline Gekul kutumia hiyo technic ya assertion ya " kuingiziwa chupa" ili kum- pull down Pauline Gekul?!
Hapo ndipo uchunguzi wa kina unapohitajika ili ukweli ubainishwe na haki iweze kuonekana imetendeka kwa pande zote husika!
Tujizuie kuwa wepesi sana wa kutoa judgements ambazo hatuna details na facts zake!
Alishajieleza kupitia mbunge, aliongea utumbo mtupuSheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
subra , ustahimilivu, utulivu, umakini na umahiri ni jambo muhimu sana kwenye kuliendea jambo hili...Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Mimi pia nilidhani kuna video iliyomnasa huyo Gekul akimsokomeza chupa huyo mtoto! Maana kwa hali hii hitahitaji uchunguzi na uthibitisho usio tia shaka alifanya kitendo hicho!Zile tuhuma ni nzito mnoo, Natamani uchunguzi wa wazi ufanyike ili kuthibitisha hayo madai. Nina uhakika ni tuhuma za uwongo ama zimekolezwa chumvi. Yeyote anaweza kurekodi ile clip na kumchafua mtu yeyote.
Kabisa Mkuu..watu wanajadili kwa kutanguliza chuki na mihemko.Mimi pia nilidhani kuna video iliyomnasa huyo Gekul akimsokomeza chupa huyo mtoto! Maana kwa hali hii hitahitaji uchunguzi na uthibitisho usio tia shaka alifanya kitendo hicho!
Una uhakika ni kweli tuhuma ni za kweli au zimetengenezwa kumchafua kisiasaMkuu wewe ukisokomezewa chupa kwenye mukunyu utamsikiliza aliyekusokomezea?
Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Unazani angeweza kuwajibika mwenyeweSheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema [emoji1]
Zile tuhuma ni nzito mnoo, Natamani uchunguzi wa wazi ufanyike ili kuthibitisha hayo madai. Nina uhakika ni tuhuma za uwongo ama zimekolezwa chumvi. Yeyote anaweza kurekodi ile clip na kumchafua mtu yeyote.
Atasikilizwa mahakamani.....sasa task force inaonfoka Dodoma kwenda Manyara kumhoji RPC na watu wake....kijana apewe usaidizi afungue shauri mahakamani.....huko atapambania haki yake....Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
trueKwani amefungwa jela? Ametozwa faini? Maamuzi ya kutengua uteuzi kwenye nafasi ya kuteuliwa hayana uhitaji wa lazima wa kumpa mteule nafasi ya kusikilizwa kabla ya kutengua uteuzi.
Huwa mnalilia utawala wa haki na sheria..au siyo nyieHalafu siku hizi raia akionewa huwa anaonekana muongo. Hata yule Rama wa Mtwara angelalamika polisi wanataka kumuua mngemuita muongo. Ila alivyouawa ndio watu wamejua kweli polisi walikuwa wananmtesa.
HajafungwaSheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Huko mahakamani ndio hachomoki Kibatala akiishika hii kesi inaisha mapema tu.
Ikijulikana umempiga mbwa wako rais anaweza akatengua uteuzi wako kwa kushindwa kuwa mstaarabu, hauwezi kuhoji.Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
DC Simalenga ilikuwaga hivi hivi kwamba kamcharaza bint makonde na mateke 😂
Kwa huyo unaunga mkono chupa kuingizwa mkunduni?Sheria ni msumeno
Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Dangote mbali sana Sema Halima Mdee na wenzake