Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

Huo uhakika ni tuhuma za uongo umeupataje??
Ni tuhuma nzito sana,vip umesahau yale ya DC simalenga? Lakini kwa ufupi hakuna anaye mtetea huyo mbunge..tunacho taka ni uchunguzi wa wazi ufanyike ili kuthibitisha hayo madai..endapo ni kweli achukuliwe hatua za kisheria..
 
Point ni uhalali wa hizo tuhuma. Hyo clip anaweza kuiandaa mtu yeyote,ukachafuliwa hata wewe.

Rais ni kichaa?,Tuachane na Rais aliyetengua uteuzi wake,Kwanini agome kuongea na mwandishi wa habari na mwisho wa siku kumpeleka Polisi?

Nani nchi hii mwenye uwezo wa kumzengenezea tuhuma Waziri tena akiwa mwenye mamlaka?,nani mwenye nguvu hiyo?

Acheni kutetea ujinga na mnaotetea Ujinga huu wengi wenu ni Mashoga!
 
Kwa kweli jambo analotuhumiwa nalo Pauline Gekul ni zito sana na linaleta ukakasi sana akilini!

Siungi kabisa tabia ya kujichukulia sheria mkononi.
Ila pia lazima tukubali kwamba tuna jamii yenye matatizo makubwa sana!

Tuna Jamii yenye kupenda kutoa maamuzi pasipo kusikiliza pande zote.
" Nobody should be condemned unheard" , hear both parties!
Hiyo ni principle ya natural justice.

Huyo Kijana anasema, Pauline Gekul aliagiza wavuliwe nguo waingiziwe chupa!
Sasa watu wamesha conclude kwamba waliingiziwa chupa, je imethibitika kwamba waliingiziwa chupa?!

Binadamu tuna mambo mengi sana,yawezekana pia ikawa vijana baada ya hilo sakata wakawa coached na wabaya wa Pauline Gekul kutumia hiyo technic ya assertion ya " kuingiziwa chupa" ili kum- pull down Pauline Gekul?!

Hapo ndipo uchunguzi wa kina unapohitajika ili ukweli ubainishwe na haki iweze kuonekana imetendeka kwa pande zote husika!

Tujizuie kuwa wepesi sana wa kutoa judgements ambazo hatuna details na facts zake!
 
CHADEMA hawalazimiki kuwasikiliza C19, Mnahaitaji elimu kubwa ya uraia kufahamu haki ya kusikilizwa ni wapi inakuwa ya lazima.
Nipo kanisani. Tulia hapo hapo.

Na nyie mnahitaji sala ya kuwaondoa unafiki.
 
Back
Top Bottom