Geita: Wassira na Mwema watimuliwa

Geita: Wassira na Mwema watimuliwa

Pinda nae akienda wampe masharti hayo hayo, akili hadharani kuwa serikali haina dini na hivyo sio lazima waislamu tu ndio wachinje, akimbwela wasimsikilize
 
Wasiishie kuwafukuza tu. Waende zaidi ya hapo kuwakataa na kuwazomea vijani wote
 
WASSIRA huyu sio Binadamu, sasa atatumwaje kwenda kusuluhisha Mgogoro ambao Wahusika sio Sokwe bali ni Binadamu??

Huyu Zinjathropa ni Mtupu sana Bichwani,! Huwezi kumtofautisha na LUSINDE KIBAJAJ , MWIGULU MZINZI, NAPE NAUYE, na Kiboko yao kwa Utupu Kichwani JOB NDUGAI!!

Ukitaka kujua Watu wenye uwezo mdogo wa Kufikiri, basi hao niliowataja hapo juu ndio Kipimo!!
Alichoenda kufanya Wassira kule Geita ni kuongeza Ufa kati ya Waislamu na Wakristo, yaani kaenda Kubomowa badala ya Kujenga!
Nashindwa kuelewa aliempa nafasi hiyo ya Waziri wa Mahusiano ktk ofisi ya Rais,alitumia Vigezo gani!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Ni masikitiko makubwa kwa taifa ambalo tulipokuwa tunasema amani yetu ni bandia watu hawakutuelewa sasa yanayojiri ndo matokeo ya amani hiyo.Huwezi panda mchicha ukategemea kuvuna bangi hata siku moja.

Udini huu ndiyo ilikuwa agenda kubwa iliyobebwa na serikali ya CCM na chama chake kama agenda kuu ya kushindia uchaguzi.Ilifika mahali ikasemekana kuwa mwaka ni mwaka wa kuondoa mfumo kristo ndani ya serikali.Watu tulihoji mbona huo udini unaozungumzwa sana na CCM hatuoni ilihali wananchi wanashirikiana katika mambo yao ya kijamii kama vile kuzikana,harusi na mambo mbalimbali.

Kinachofanyika sasa ni nani amfunge paka kengele ilhali aliyemkuza na kumtunza ana muogopa.Serikali imepanda mbegu ya udini mbegu imemea mazao yake yamepatikana kabla hata ya mpandaji mbegu hiyo hajamaliza muda wake,matokeo ya kumea mbegu hiyo ya udini yatakuwa makubwa zaidi ya Buseresere.Wananchi wanawakataa miongoni mwao waliopandikiza mbegu hiyo kinachofutia serikali kudondoka,eeh kwani ndiyo mkulima mzuri wa mbegu hiyo ya udini.

Mwalimu alilikemea kwa ukali suala la udini,leo lina kemewa kwa kucheka cheka huku vijana wanaoeneza udini wakiachiwa kutembea kifua mbele.Tuliona mkakati uliotumika kabla ya 2010 kwa vijana waliotumika kutembea nchi nzima na kufanya mikutano ya hadhara mmoja wao akiwa kama Kiongozi wao ambaye alijulikana kama Said Mwaipopo,huyu alikuwa kinara wa kuunadi udini hata kabla ya uchaguzi mkuu lakini serikali ili msikia na ilikaa kimya,leo itakuwa ajabu serikali kujificha macho ilihali uso unaonekana.
 
Dhaifu ndio alipanda mbegu ya udini......anavuna alichopanda...serikali haina dini! wakiristo wasilazimishwe kula nyama iliyochinjwa na Waislamu
 
Wilbrod Slaa


Uchonganishi kwa kutumia dini ni mbinu chafu na ya mwisho ya utawala unaotapatapa kwa kushindwa kutekeleza mambo mengine ya msingi zaidi kwa wananchi wake.

Wananchi lazima kutambua hilo na kukumbuka kwamba umaskini na ukosefu wa mahitaji ya msingi si matokeo ya tofauti za dini au makabila bali utawala mbovu.

Huyo ndiye adui wa Taifa letu na ndiye wa kwanza tunayetakiwa kukamilisha harakati za kumuondoa zinazokaribia kushinda.
ninamheshimu sana Dr Slaa sijui kwanini hakutaka tuende kumng'oa mwizi huyu!
 
Inauma sana kuona mtumishi wa Mungu ameuwawa kikatili. Nxt time we christian should stand together to fight this kind of terrorism. May his soul Rest in Peace
 
Hawa wasukuma wa geita wananguvu kuliko serikali, maana kumtimua IGP sasa polisi gani atawaweza?
 
Wasira anajua nini zaidi ya kutumika? 2005 salm ahmed si mtanzani,si ukabila huo? 2010 slaa katumwa na kanisa, uchaguzi mdogo igunga, cdm wamvua mkuu wa wilaya baibui badala ya kilemba, si udini huo? Kikwete hakuyajua hayo? Na je, alisema nini? Sisi si wajinga hata kidogo! Naomba watanzania tujiandikishe kupiga kura 2015.
 
Wachungaji wangetumia nguvu hizi kupinga ushoga makanisani ingesaidia zaidi ya hoja za kuchinga- wanataka kuleta ubaradhuli machinjioni?
 
Kikwete anavisa vya kitoto ndio maana anashindwa kuendesha hii nchi.kuna watu wenye busara wengi sana ambao wangeweza kwenda geita na kumaliza huo mgogoro kama lowassa.silaa sitta mwakyembe mbowe mrema ambao wanabusara za kuongea.anategemea watu kama wassira nchimbi mwigulu lusinde rage mijitu ambayo watanzania wakiwasikia wanasikia kichefuchefu.na nchi inamshinda kuongoza kutokana nakutumia ushauri wa watu kama hawa.
 
hao wanaotoa hayo mashart sjui wametumia vigezo gan hasa

kigezo cha kwanza walichotumia viongozi tulionao lazima walazimishwe ndipo watende
mbili tunaviongozi waliokosa maamuzi. ya busara kama wassira
tatu viongozi wa sisiem wengi hawana uwezo katika nafasi walizopewe ukianzia ngazi ya mkuu wa wilaya hadi rais ni zero brain
kama unataka vigezo zaidi sema mkuu
 
Wasira ni janga la kitaifa! Ukisikia cheap popularity basi mzee huyu mwenye sura kama ya binadamu wa kale anapenda mno! Hata boss wake analijua kuwa hana hoja zaidi ya ukali na ukaidi, ndiyo maana akampa jina la Tyson

Tehe tehe tehee! ZAMADAMU
 
Kitu ambacho nimekinoti katika hili ni serikali kupwaya katika kufanya maamuzi na kutoa matamko yanayokidhi matatizo ..
Sijui wassira analipwa mshahara kwaa kazi gani???
 
Back
Top Bottom