Saint Ivuga, Wasukuma umetuonea bure. Huyu dogo kwao halisi ni Morogoro na inawezekana ni Mruguru huyu au makabila mengine ya huko. Kaja huku migodini Geita kutafuta pesa tu. Tena kumbe ni mhitimu wa UDSM kabisa. Wasukuma tunaomba tuombwe radhi kwa hili.