Geita mpo wana JF?

Geita mpo wana JF?

Ericky braza nimeshafika kwa wakina mwadillaaah!..BAKURUTU ni nomaa...wanakwamba hii ni sehemu ya anasa...eti nao wanasema laki si pesa!..duh...aya nambie kijana
Teh huko ni nomaaa...ila shinyanga si haba sana....
Ukitoka geita pitia mwanza....huko ntakupa campany ya kutosha....
 
na ww uko kama sigara nyota!..hujulikani mbele wapi,nyuma wapi...mara nikifika shy nikushtue...mara mwanza...ebo!..bro bangi bado hazijatoka kichwani sio?
 
We ndo bange....kwani nikikwambia inishtue ndo niko shy??
Ukija Arusha utanikuta usijali na tutakuwa pamoja....
 
Back
Top Bottom