Geita mpo wana JF?

Geita mpo wana JF?

nipo singida now...heading SHY!...ntakuja GEITA pia nahsi keshokutwa!..
tulimpiga chini huyo mjamaa...alikua analeta utapeli kwenye harusi ya mwenzake!..

Umepita singida ukiwa kwenye gari au umedrop kabisa?, ningejua ningukuja nkupe tano
 
Pouwa kijana....

Ericky braza nimeshafika kwa wakina mwadillaaah!..BAKURUTU ni nomaa...wanakwamba hii ni sehemu ya anasa...eti nao wanasema laki si pesa!..duh...aya nambie kijana
 
Ericky braza nimeshafika kwa wakina mwadillaaah!..BAKURUTU ni nomaa...wanakwamba hii ni sehemu ya anasa...eti nao wanasema laki si pesa!..duh...aya nambie kijana
kwani wameuza ng'ombe?
 
Back
Top Bottom