Shy umefika na kutaawishwa? mboni hukuwa ukijibu. baiskeli ndo usafiri wetu wa bei poa si umeona mwenyewe kutwa nzima umekodi na kuzunguka nayo kwa buk2.
Nzuri Erickb52...majukumu yanabana na kuachia mwaya ila tuko pamoja..Sijambo mpendwa habari za siku kadhaa....
Unapotea sana madame
Pm nilisoma shem ila sikuelewa pale mahali ulisema nikukute, ila nilijaribu kupiga hukupatikana, wacha niungane na Erick kukusubiri Arusha hope utalii utaendelea mpaka huku!shem ww ulinichunia...hukusoma hata PM yangu sio??LOL
shemej shemej
Wifi nimechelewa kuiona hii, ningeanza mapema kukufuta machozi ya hasira, naimani akisoma ule uzi wako ataacha mara moja kukukera! Pole sweet wii.kuna mtu kanikera wii,
Pm nilisoma shem ila sikuelewa pale mahali ulisema nikukute, ila nilijaribu kupiga hukupatikana, wacha niungane na Erick kukusubiri Arusha hope utalii utaendelea mpaka huku!
Usiku pia ulichangia bana, ulivonambia nikukute pale sa sita ndio kabisa nkashindwa kukuelewa... Karibu sana arusha!sawa...ntakuja moshi...ni karibu tu na hapo...ntakamata costa fasta!..sasa hukuelewa nini na wewe mbona pako wazi tu...au kwakua ilikua usiku?
Jamani acha kunisingizia! Mtei one hujamwona?SL umehusika kwa aslimia zote kuchakachua nyuzi zangu...nakusubiri!..
BON TO US...ndipo nilipo nw!..zamani walikua wanaaiita MANTAS
nimempita Mtu "Malugu lodge" yuko busy na Laptop nikahisi ni wewe!
mmmh...uko karibu na ukwel...nilikua hapo jirani...nimehama...mabomba yanamwaga maji huko bafuni...kweli rahisi ni ghali SS...nipo GEITA PARK HOTEL...naondoka kesho kwenda Musoma!..ww si umenitenga bana!?
nimekufosoma wangu...nimepata nafasi yakutembelea huko mchana wa leo ndugu!.
pauwaa!..