GEITA kesho...

Shy umefika na kutaawishwa? mboni hukuwa ukijibu. baiskeli ndo usafiri wetu wa bei poa si umeona mwenyewe kutwa nzima umekodi na kuzunguka nayo kwa buk2.

acha tu Taij...nimekwepa baiskel sijui idadi...afu wanadada huku ni noma kwa kuendesha bike aisee!..sa sijui haidhuru ile kitu.?
 
shem ww ulinichunia...hukusoma hata PM yangu sio??LOL
Pm nilisoma shem ila sikuelewa pale mahali ulisema nikukute, ila nilijaribu kupiga hukupatikana, wacha niungane na Erick kukusubiri Arusha hope utalii utaendelea mpaka huku!
 
sawa...ntakuja moshi...ni karibu tu na hapo...ntakamata costa fasta!..sasa hukuelewa nini na wewe mbona pako wazi tu...au kwakua ilikua usiku?
 
Usiku pia ulichangia bana, ulivonambia nikukute pale sa sita ndio kabisa nkashindwa kukuelewa... Karibu sana arusha!
 
BON TO US...ndipo nilipo nw!..zamani walikua wanaaiita MANTAS
 
nimempita Mtu "Malugu lodge" yuko busy na Laptop nikahisi ni wewe!

mmmh...uko karibu na ukwel...nilikua hapo jirani...nimehama...mabomba yanamwaga maji huko bafuni...kweli rahisi ni ghali SS...nipo GEITA PARK HOTEL...naondoka kesho kwenda Musoma!..ww si umenitenga bana!?
 
sijakutenga too busy!!! sasa hivi niko maeno ya huku uwanja wa GGM, na ukiona niko hewani jua most of the time niko na kazi ya mtandaoni.....
 
nimekufosoma wangu...nimepata nafasi yakutembelea huko mchana wa leo ndugu!.
 
ok naona ni mida yangu ya jogging, nikitoka huko nitaangalia kama nitakuwa na chance ya kufika huko uliko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom