Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

Mda uo wamesha elewa lakini wana jizima data tu na ujuaji mwingi
 
Naona umeamua tu kukaza kichwa ila umeelewa,hata ukisoma kwa umakini hii comment yako,umesha jijibu tayari.
 
Wao kujadili namba za gari,wewe inakuzuwiaje kujadili hayo mengine? thd inaweza ikazaa mijadala mingine ndani yake,hilo ni jambo la kawaida
 
Dereva wa gari la Jeshi,alihamia upande ambao sio wake! Mambo ndiyo yakawa hayo sasa
Usingizi.
Dereva lazima alisinzia kwa kukosa kupumzika vya kutosha.
Kwenye udereva inatakiwa u pumzike kwa madaa si chini ya 12 kabla ya kuanza safari ndefu.
Hiyo principle ya kupumzika ukienda kinyume nayo shauri yako.
Usingizi haujui polisi au mwanamgambo.
 
Hahahahah eti wana Israel😂
 
Wajeda, mapolisi, usalama, magereza, Jkt sidhani kama wanajua kwamba watu wote tunahaki ya kutumia Barabara..wapo rafu sana hasa highway...gari zao hazikimbii hasa zajeshi (nissan patrol) lakini angalia wanavyoforce kuovertake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…