Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

Wabongo Bwana! Wamehamishia mjadala kwenye namba za gari na kuiacha habari husika upenuni. Tungependa kujua nani wamekufa?, nani wamejeruhiwa?, Hali za majeruhi zikoje/, majeruhi na marehemu wamepelekwa wapi? Ili kama kuna ndugu na jamaa waweze kuwapata wapendwa wao kwa msaada zaidi na marehemu wao wawapate ili wakawahifadhi.
Mda uo wamesha elewa lakini wana jizima data tu na ujuaji mwingi
 
Nikiulizwa namba ya gari ndio nitataja T 374 DEF kama ndio hiyo. Wewe utataja 374 pekee?
Kama gari limesajiriwa kwa T na hakuna kingine nitataja kama namba ya usajiri. Kama gari la Waziri wa Nishati na Madini linatajwa hapa tutasema namba za usajiri ni "W NM" wala hatutaziita herufi za usajiri. Hii ni kwenye Kiswahili na kimalkia

Namba za usajiri na tarakimu ni vitu tofauti. Muktadha wetu hapa ni plate number za gari
Naona umeamua tu kukaza kichwa ila umeelewa,hata ukisoma kwa umakini hii comment yako,umesha jijibu tayari.
 
Wabongo Bwana! Wamehamishia mjadala kwenye namba za gari na kuiacha habari husika upenuni. Tungependa kujua nani wamekufa?, nani wamejeruhiwa?, Hali za majeruhi zikoje/, majeruhi na marehemu wamepelekwa wapi? Ili kama kuna ndugu na jamaa waweze kuwapata wapendwa wao kwa msaada zaidi na marehemu wao wawapate ili wakawahifadhi.
Wao kujadili namba za gari,wewe inakuzuwiaje kujadili hayo mengine? thd inaweza ikazaa mijadala mingine ndani yake,hilo ni jambo la kawaida
 
Dereva wa gari la Jeshi,alihamia upande ambao sio wake! Mambo ndiyo yakawa hayo sasa
Usingizi.
Dereva lazima alisinzia kwa kukosa kupumzika vya kutosha.
Kwenye udereva inatakiwa u pumzike kwa madaa si chini ya 12 kabla ya kuanza safari ndefu.
Hiyo principle ya kupumzika ukienda kinyume nayo shauri yako.
Usingizi haujui polisi au mwanamgambo.
 
Jamaa kanistua Sana wakati tushajiwekea malengo kuwa na E za mwanzon mwanzon nijiondoe kwenye kundi la wanaisrael Mara jamaa anakuja kusema saiz n ERZ dah nilitaka niwe mwarabu ninunue chasis niliweke nje watu wajue nina malengo.

Pole kwa majeruhi na ndugu waliopoteza wapendwa wao
Hahahahah eti wana Israel😂
 
Wajeda, mapolisi, usalama, magereza, Jkt sidhani kama wanajua kwamba watu wote tunahaki ya kutumia Barabara..wapo rafu sana hasa highway...gari zao hazikimbii hasa zajeshi (nissan patrol) lakini angalia wanavyoforce kuovertake...
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom