Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
9,016
2,000
Kwamba ukiambiwa taja plate number utataja kwa kuondoa herufi zake. Kama gari ni T 374 DDF ukitaja wewe utaondoa herufi utaje 374
Kua muelewa,issue ni herufi iliyotumika ili kuwasilisha namba!

Hiyo comment imetaja "Namba E" ndio akaambiwa E sio namba ni herufi,huo mfano wako hauhusiani na huo mjadala.

Kwa kutumia huo mfano wako,ina maana ukiulizwa number plate ya gari yako utasema "Namba T?"
Watu wanaongea kimazowea tu ila ni makosa.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,821
2,000
Kua muelewa,issue ni herufi iliyotumika ili kuwasilisha namba!

Hiyo comment imetaja "Namba E" ndio akaambiwa E sio namba ni herufi,huo mfano wako hauhusiani na huo mjadala.

Kwa kutumia huo mfano wako,ina maana ukiulizwa number plate ya gari yako utasema "Namba T?"
Watu wanaongea kimazowea tu ila ni makosa.

Mkuu hao jamaa tukianza na Extrovert wameeleweka hata kama hawapo sahihi, hii ipo kimazoea zaidi.

Hauwezi kusema namba T kwa sababu hiyo haibadiliki, ipo constant, matoleo ya magari hayaiathiri.

Namba zinazobadilika ni hizo tarakim na herufi. Imekua kawaida na mazoea watu kutumia herufi kujua gari imesajiliwa lini.
Kwa mfano sasa hivi namba inayotawala ni D ambayo kama sikosei inaelekea ukingoni tuanze E, sasa wengi wameshangaa tumefika ERZ lini? Kwa mfumo tuliouzoea, hiyo ni gari imeingia karibuni na ina usajili wa mbele sana ukizingatia namba zinaenda kwa mfumo wa AAA hadi AZZ ndio ihamie herufi inayofuata.

Hayo mazoea yamepelekea ukisema herufi ukimaanisha usajili wa gari, watu hawatakuelewa, neno namba limetawala hata kama lengo ni hizo herufi.

Shukrani
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
45,198

Asante kwa kunisaidia naamini wewe ni learned bro! Umeelewa kwa wepesi sana
 
aldeo

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,642
2,000
Scania T 130 ERZ 😟😳😳😳😎😎😎 tulishafika namba β€œE” kumbe?
Jamaa kanistua Sana wakati tushajiwekea malengo kuwa na E za mwanzon mwanzon nijiondoe kwenye kundi la wanaisrael Mara jamaa anakuja kusema saiz n ERZ dah nilitaka niwe mwarabu ninunue chasis niliweke nje watu wajue nina malengo.

Pole kwa majeruhi na ndugu waliopoteza wapendwa wao
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,578
2,000
Hata kama tumefika herufi E,ndiyo iwe ERZ?? Hivi unadhani ni mchezo kuimaliza herufi na kwenda nyingine?? Tunaweza kaa miaka 3 hadi 4 ndiyo tunahama herufi! Bado tupo kwenye DRZ huko!
Ukianzia wapi nimequote utaona naisema E na wala sio ERZ. Nami najua kuwa ERZ hatujafika bali ni makosa ya mwandishi ila E tumefika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom