figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Namba E Ndio ninini? Mbona unaniangusha mkuuScania T 130 ERZtulishafika namba βEβ kumbe?
Kesho kutwa namba zitaingia kwenye FAA!!!!!!!!!Scania T 130 ERZ ππ³π³π³πππ tulishafika namba βEβ kumbe?
Husomi bandiko vizuriNamba E Ndio ninini? Mbona unaniangusha mkuu
USSR
Kama huna Gari huwezi elewaNamba E Ndio ninini? Mbona unaniangusha mkuu
USSR
Akili Zaki ndogo Kama za dadako E ni namba au herufiKama huna Gari huwezi elewa
Wanazinguaga sana hao jamaa wanajiachiaga sana sema scania alikaza inaoneshaπDereva wa gari la Jeshi,alihamia upande ambao sio wake! Mambo ndiyo yakawa hayo sasa
Hiyo ni kawaida yao kutofuata sheria za barabarani!!na sisi raia tunawaogopa kwamba acha wafanye wao ndio wenye inchi hiiiDereva wa gari la Jeshi,alihamia upande ambao sio wake! Mambo ndiyo yakawa hayo sasa
Tena ER mkuuKesho kutwa namba zitaingia kwenye FAA!!!!!!!!!
Hao wanajeshi wakiwa wanaendesha magari huwa wanajisikia barabara yote ni ya kwao ndo madhara yake sasa.Dereva wa gari la Jeshi,alihamia upande ambao sio wake! Mambo ndiyo yakawa hayo sasa