Jamaa ngoma zake zina depict reality of life at full picture.....basi tu ingekuwa uwezo wangu ningeenda hata kurudisha shukrani hata kwa familia yake asee dah.Tatizo alikuwa anapiga weed halafu hanywi maji....hebu mcheki roho saba na dark master
Ukipiga weed kama hunywi maji inakuwaje ?!Tatizo alikuwa anapiga weed halafu hanywi maji....hebu mcheki roho saba na dark master
Geez mabovu ,Langa na ngwair wameacha alama katika music wa hip-hopJamaa alikua Fundi shida bangi na pombe huku akikosa kula vizuri chakula.
Alama Vs NgadaGeez mabovu ,Langa na ngwair wameacha alama katika music wa hip-hop
Jamaa noma sn, kuna ngoma inaitwa "Mimi" kawashirikisha Chid Benz, Mo Technics, na Farid Kubanda yn hyo ngoma ikipigwa hata kesho utazani ya Leo, noma sn Geezy, RIP.Jamaa ngoma zake zina depict reality of life at full picture.....basi tu ingekuwa uwezo wangu ningeenda hata kurudisha shukrani hata kwa familia yake asee dah.
UnanyorosokaUkipiga weed kama hunywi maji inakuwaje ?!
Oya dark,
nitoe bati nikwanywe chai,
Mchana nikifeli ntamuibukia majani,
..........., ..........., ..........., ............., .........,
Wanga tuu hawantshii maisha, na mwaka huu lazima geezy n yavune,
Ile beat majani alitengeneza
NtaitafutaKuna ngoma ya Ngwea, Ferouz, P Funk inaitwa MIDA MIBOVU kaicheki uone[emoji16]
Check na ngoma ya PARTY FLANI ndo utamkubali zaidi huyu mwamba.Kuna ngoma ya Ngwea, Ferouz, P Funk inaitwa MIDA MIBOVU kaicheki uone[emoji16]
Ngoma yangu hiyo akiwa na Ngwair himselfCheck na ngoma ya PARTY FLANI ndo utamkubali zaidi huyu mwamba.
Jamaa apewe pumziko la milele huko aliko.
Ninachokumbuka huyu jamaa niliwahi kaa nae meza moja tunapiga mitungi.....