NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Game Developers Conference (GDC) 2014 - 17/3 - 21/3
Kwa wale gamers na wapenzi wa gadgets conference kama hizi na nyingine kama E3, MWC hua si za kukosa angalau kupata dukuduku za kinachoendelea pande hizo. Kampuni ambazo nyingi tulikua tukizisubiri kwa hamu sana kuleta mezani mapya waliyonayo ni kama Sony, Oculus VR, Microsoft, Valve...
Sony kama rumors zilivokua zikisema kua wanategemea kuleta Virtual Reality (VR) hardware to PS4 wamefanya kweli, Project Morpheus ndio jina la project ya VR Headmounted display ambayo walikua wakiifanyia kazi kwa miaka mitatu sasa.... Wameiintroduce ikiwa na 1080p resolution, 90FOV (Field of view), Low persistence.
Wengine ni Oculus VR, Wameintroduce Oculus VR Development Kit 2, na pre-orders ziko wazi kwenye website yao, $350 Oculus DVK2 ina specs sawa na Crystal Cove Prototype waliyoionyesha CES mwaka huu, 1080p OLED Display, 110FOV, Low Persistence na 6 Degrees of freedom Positional tracking japo hii inakuja na external camera.
Mimi si mwandishi wa habari wala lecturer wa kiswahili hivyo msikae ku-judge uandishi wangu.. Just a gaming, science enthusiast
Updates zaidi conference inavyoendelea