GBWhatsApp wameamua kuachia app yao ingine yenye vionjo vingi

Je tunaotumia iSO tunaweza pata kwa sababu kwenye Appstore haitambui GbWhatsapp na Gbinstagram
 
Kuna makubaliano fulani hua yanaanyika ndio maana wanapewa code za app,wao wanadesgn na kuboresha baaz ya vipengele.
Kingine hawawek playstore 7bu watasumbuana kibiashara
Hakuna makubariani ndiyo maana kulikuwa na kipindi whatsapp wakijua hutumii official app yao unatumia sijui whatsapp+ na gbwhatsapp wana block number yako.
 
Je tunaotumia iSO tunaweza pata kwa sababu kwenye Appstore haitambui GbWhatsapp na Gbinstagram
Kuhusu hili sahau ios haikubari kabisa installation ya apps ambazo ziko nje ya store yao, ambazo hazijawa verified hii ni kwasababu za kiusalama za taarifa na kifaa chako.
Unless device yako iwe jailbroken utaipata cydia huko niliwahi install whatsapp+ kwenye iphone.
 
Mkuu hata GBWhatsapp hakuna kabca na GBwhatsapp ni ya muda
iOS bado hawajaiamulia,sema wako vzr sana Android app zao zina mambo mengi sana
8fd3058cd5e85a9828b8d2e194c3ef58.jpg
iyo ni muonekano wa theme ya GB WhatsApp niliotengeneza mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mkuu hii theme waweza kunipatia?
manake mi ni mnazi wa kufa wa vijana wa Catalunya.

Back
Top Bottom