Inabidi serikali Itangaze kesho kuwa siku ya mapumziko!
Hawawezi, wanaogopa kufanya maamuzi!!! utasikia kesho watasema tumewasamehe!! kama kuna mtu kawaomba msamaha!!
Hawana Pipa Ikulu wanajazia Uswazi tu na wao...ngoja pipa la ikulu likiisha watazinduka
Pinda tu ndio hana Sauti.. Rahaa Tu Mabati Jangwani Bado Yapo?bongo rahaaa kila mtu anasauti na sasa watu wa mkuu wa kaya wanamchezea mbaya...