GBP Sinza hapafai

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,060
Napita maeneo ya sinza na kuna kituo kimoja tu cha mafuta ndicho kinaonekana kuuza mafuta!
Foleni ni kubwa sana, gari hazitembei! Trafiki mko wapi?
Hali hapa GBP ni mbaya
 
Hivi kesho kutakuwa na usafiri kweli kama hali yenyewe ndio hii!
 
Inabidi serikali Itangaze kesho kuwa siku ya mapumziko!
 
Sasa ,maisha yamekuwa kama somalia,,,,,nimezoea kusikia kuwa matatzo haya hutokea maeneo yenye machafuko kama syria
 
Sasa ,maisha yamekuwa kama somalia,,,,,nimezoea kusikia kuwa matatzo haya hutokea maeneo yenye machafuko kama syria
Bado hatujafikia hiyo hali kaka!
Let's pray yasitukute yanayotokea huko
 
mi nshacoka upuuzi huu, watendaji hata sijui wako wapi, mxsiiiiiiiiiiiiiiiiiii....
Serikali hebu onyesheni kujali wananchi wenu
 
bongo rahaaa kila mtu anasauti na sasa watu wa mkuu wa kaya wanamchezea mbaya...
 
yanh spati picha kesho itakuwaje!hata diesel ambayo walikua wanauza leo hawauzi!balaa tupu yanh!kesho mabasi ya mkoa sijui kama yatatoka!ndio hapo mgogoro utakapoanzia.
 
Hawawezi, wanaogopa kufanya maamuzi!!! utasikia kesho watasema tumewasamehe!! kama kuna mtu kawaomba msamaha!!

serikali yetu rojorojo imewekwa mfukoni na wafanyabiashara ya mafuta nchini. Inahitajika jitihada ya makusudi toka kwa wananchi wazalendo ili kuinasua toka mfukoni iweze kuwahudumia wananchi wake.
 
Kuna tetesi kwamba hawa wauza mafuta waliwajazia ccm mafuta bure kwenye magari yao wakati wa uchaguzi kwa makubaliano kwamba waendelee kupandisha bei na kuchakachua mafuta sasa huyu jamaa wa sumatra anataka kuwaharibia dili ndoo maana sirikali ya jk wako kimya.
 
ngoja pipa la ikulu likiisha watazinduka
Hawana Pipa Ikulu wanajazia Uswazi tu na wao...
Labda na Mafuta ya Ndege Wakigoma kuuza ndio Atazungumza kwani yeye ni Mtumiaji Mkubwa wa Mafuta ya Ndege.
 
Fafanua vizuri mkuu hapo GBP ndio pekee wanauza mafuta hayo?au hawauzi?na hiyo hali mbaya inatokana nanini?fafanua kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom