tatizo lako linaeza kuwa hapa coz me mwnyw natumia android version 4.4.2 kwnye samsung tab na iko poa tuKuna feature moja inafanya txt zina delay kwa uelewa wangu n ile ya 1 tick kufny m2 aone tick 1
Phantom 6+(maeshmallow)Lkn shida ni hyo hyo text zinachelewa kuingia na kutoka.Nyie simu zenu ni uwezo wachini
Kama una
Android version 6
Ram 2gb utafurah sana
Fanyeni hiv wote ambao gb whatsapp yasumbuaa uninstall hiyo gb download whatsapp plus ipo kama gb whatsapp kila kitu hiyo inawahisha na mm pia nimeanza kuona gbwhatsapp inazingua ,natumia whatsapp plus sana wadauPhantom 6+(maeshmallow)Lkn shida ni hyo hyo text zinachelewa kuingia na kutoka.
Msaada wa link mkuuFanyeni hiv wote ambao gb whatsapp yasumbuaa uninstall hiyo gb download whatsapp plus ipo kama gb whatsapp kila kitu hiyo inawahisha na mm pia nimeanza kuona gbwhatsapp inazingua ,natumia whatsapp plus sana wadau
WhatsApp+ inapatikana playstore? Kama kuna link yake! Tunaomba utupatie.Fanyeni hiv wote ambao gb whatsapp yasumbuaa uninstall hiyo gb download whatsapp plus ipo kama gb whatsapp kila kitu hiyo inawahisha na mm pia nimeanza kuona gbwhatsapp inazingua ,natumia whatsapp plus sana wadau
Nenda kwenye setting ,security then allow installation from unknown source itakubali ukimaliza disable hyo kituView attachment 503297
nimedownload Gb whatsapp..na inafanya kaz vzuri lakn security inasema ni Malware/virus..
hapo inakuwaje wakuu.?
ukitaka kuupdate siku nyingine fungua hiyo link ya kiarabu kwa kutumia browser ya google chrome yenyewe itatranslate kwenda kingereza then utadownload fresh tu kunakuwa na maandishi ya blueNaomba msaada wa kuupdate GBwatsappl hua inanipa notification lakini tatizo kiarabu kinakua kingi hata ukifata link ni mizinguo tu
Mm najua ipo gb whatsapp mmoja ila ikitoka version mpya itakuambia update na unahamia version nyingne ya gb whatsapp