Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Toka jana (07/04/2017) nimeanza kutumia Gb whatsapp ambayo nimeidownload kupitia hyperlink ambayo niliipata kupitia hapa JF. Nimeipenda sana kwa features zake tofauti tofauti.
Shida yake ni moja tu!:-
Nipo hapa mjini mtandao umetulia vya kutosha ila nikituma Message inachukua hata dakika 8 hadi 10 ndo inaenda. Hivyo imekuwa vigumu sana kufanya instant chattings.
Kama kuna uwezekano wa kurekebisha hili tatizo naomba msaada juu ya suala hili, maana linaumiza sana kichwa changu
NB: Kwa simu ileile nikutumia whatsapp ya kawaida message zinaenda instantly.
Msaada wako ni muhimu sana