Unaijua WhatsApp video instant?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
WhatsApp wanakuja feature mpya ya kuwasaidia watu kuwa na uwezo wa kutuma video fupi fupi kwa mfumo wa Message,ni kama vile voice message.

Ceo wa Meta Mark Zuckerberg aliweza kushare clip fupi ya feature mpya ambayo inaonyesha video yenye mfumo wa duara imetumwa kwa mtu kupitia WhatsApp.

Ni feature mpya ambayo itaitwa Video Instant message mtu atakua na uwezo wa kumtumia rafiki yake video yenye urefu wa sekunde 60 ambayo itakua automatic imeji play pale mtu atakapo fungua ujumbe wako.

IMG_20230728_213926_632.jpg


Itakuwepo kwenye upande wa voice Message ukishikilia kwa muda mrefu utakua na uwezo wa kuchagua ujirekodi video au audio na kumtumia rafiki yako.

Hii feature inafanya kazi kwa watumiaji wote wa android na iOS imeanza kwa watu wachache ila soon itaanza kupatikana kwa watumiaji wote .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom