Gb WhatsApp New Version

Msaaada please kwa hii mpya mwenye direct link
 
Ivi hiz updates za gb whatsap faida zake hasa maans kila.siku yan ni kuupdate tu mi nishachoka toka ile ya v,,5:40 cja update tena..ebu nipeni faida yke kubwa haswa wadau
 
Unawezaje kuweka hvyo?!
 
Yaaani hii kitu ni mwisho wa matatizo. Kuna kademu nilikazimia last seen na tick alafu nikakadanganya nimeibiwa simu kakaamini
ebu nisaidie hapo kwenye kuzima tick unaenda wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…