GB WhatsApp mambo yamebuma

Muindi achezewi hayapiti masaa asha toboa ozone na vision mpya
Afu mnao tumia officiall whatsup mna jifanya mna IQ kubwa
Wanaotumia official wakiwa wanawasema wenye unofficial wanajikuta IQ ya mbele kumbe nao mafala tuu
 
Mimi siku zote ndo maana sijawahi kutumia hizo whatsapp uchwara, gharama ya kupata loss ya kupoteza taarifa ni kubwa sana. Sijawahi kabisa kushawishika kuzitumia, nawashangaaga sana watu wanaozitumia
 
Mkuu hivi ushaona mtu wa GB,YO na FM wanavyojikuta na hizo un-official zao issues sio machaguo issue ipo kichwani.

Kama ni issue ya privacy pia hizo (legal setting) zipo
Sio hizo za michongo na kuhuni huni.

Mm sifagilii hizo Apps kabisa yani utoto,ushamba wa kijinga tu (hapa mtanisamehe).

Nawasilisha.
Hahaha watu bado wanadunda...wa iran wataiset tena haya mambo hayajaanza leo
 
Oyoo kuna mpya gani huko muhindi bado kataitiwa au... Kama kuna mpya leteni link...
 
Back
Top Bottom