Verified
Senior Member
- Apr 11, 2013
- 118
- 385
Gazeti la leo la Uhuru lina habari kuu isemayo tamati ya CHADEMA imefikia. Na sub heading inasema "viongozi wa juu kung'olewa".
Hii habari sio ya kusoma juu kwa juu, inahitaji tafakari kuielewa.
Kwa kifupi ni kwamba, yanayoendelea chadema kwa sasa ni mwendelezo wa nadharia ambazo CCM imepanga kuzitekeleza ili kuhakikisha CHADEMA inakufa kama ilivyonukuliwa na viongozi wa juu wa CCM akiwemo Wassira.
Baada ya nadharia kadhaa kufail zikiwemo za udini na ugaidi ni wazi kwamba CHADEMA wasipokuwa makini round hii chama kinakufa kweli kama CCM walivyopanga. Hii ni kwa sababu CCM wametenga hela nyingi sana kuhakikisha wanawaweka watu wao kwenye uongozi wa CHADEMA na ndio maana baadhi ya viongozi wa Chadema wanashirikiana na CCM kwa hali na mali kutaka kuuondoa uongozi wa CHADEMA.
Hii inamaanisha.. CCM wanajua fika kwamba iwapo tu, Mbowe na Slaa wakiachia ngazi.. basi kama CHADEMA haitakufa, basi wasahau 2015 kuitwa hata Chama kikuu cha upinzani.
My take:
Huu ndio muda mwafaka wa CHADEMA kuhakikisha wanawavua uongozi pamoja na uanachama viongozi wote wanaoonekana kupata backup kutoka CCM akiwemo zito na mwigamba.
Vinginevyo... naanza kuamini maneno ya Wassira.