Ben kinachokufa kinajulikana kijana mwenzangu ni vema taratibu za misiba mkaziandaa chama cha kupigana kwenye vikao hakiwezi kudumu.
Hata kwenye misiba watu hupigana ndugu na msiba unaendelea haya yawezakua ni mapito tu na watavuka!
Ben kinachokufa kinajulikana kijana mwenzangu ni vema taratibu za misiba mkaziandaa chama cha kupigana kwenye vikao hakiwezi kudumu.
Sijui hata kama hili gazeti bado lipo.Ila ofisi nyingi za serikali wanashurutishwaChanzo cha habari gazeti la uhuru???????=======++++++
Chombo cha habari na propaganda cha maccm????????========++++++
Kuna mtanzania anayesoma gazeti la uhuru?
Kazi ipo.