Gazeti la Uhuru: Tamati ya CHADEMA imefikia

Gazeti la Uhuru: Tamati ya CHADEMA imefikia

hawezi kusema lolote mwigamba mjinga tu huyo anataka kuharibu chama chetu kama anapewa ruzuku toka kwa ccm sawa ila kma cio basi ujue atajutia kwa kitu anachotak kukifanya vinginevyo hiyo inakuwa COMPROMISSING.
 
Mwigamba kuongea na
waandishi wa habari leo jumatatu, aahidi kusema uozo wote wa CHADEMA.
STAY TUNED!

ameshindwa zitto na fitna zake zote zile, ataweza mwigamba????
Teh teh teh teh
go go go chadema
 
Hivi Sheikh Yahya ndiyo Chief Editor wa UHURU?! Maana hii habari haina tofauti na UTABIRI WA NYOTA ZETU.
 
Source: Gazeti la Uhuru!???

Sokoinei umekuja kuwaje mkuu?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu nipo KUNDINI bado na kamwe sintaungana na Mafisadi A.K.A. Mashwetani. Nilichojaribu kufanya ni kupost huo ujinga waliouandika Wasengelenyuma ili watu watolee ufafanuzi huo uzushi wao.

Kama nimekukwaza Katibu wangu niwie radhi!! We are together na hakuna kuwaonea Haya Mamluki na Wasaliti wote ndani ya chama,dawa ni kuwachinjia baharini wakafie huko. Nakusalute Kamanda!!!
 
Waliko lala wao ndiko tulikoamkia sisi.........mgonjwa unaweza kumpeleka india,south africa,na hata uk na bado asipone kabisa,kwa akili zako za kuchoka kwa kumhudumia ukaaza kuomba afe ili uepuke gharama zaidi na matokea yake Mungu kwa makusudi ya ajabu kabisa anamkazisha roho hata miaka 10 ijayo hafi pamoja na umahutiti wake na mwisho wa siku unakufa wewe:


viongozi wa ccm toka kuchomoza kwa chadema na kupendwa na watanzania walio wengi,kila siku wao na wimbo yameguka,mara yafa,mara sasa basi, pamoja na maombi ya kuiua chadema kushindikana wameishia kuua raia wasiokuwa na hatia ili kudhibitisha kauli za mfu,oooh itakufa kabla ya 2013,mwaka umepita chama kipo tu na sasa wamehamia kabla ya mwaka 2014 inakufa,ila mgonjwa huyu ndiyo kwanza anaanza kwenda msalani peke yake, na ole wenu akaze roho mwaka upite 2015 hamtaamini macho yenu, na kama ilivyo ada TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU nyie endeleeni kumuombea mgonjwa afe
 
Moja kasumba zitakazoigharimu CDM siku zijazo ni hii tabia ya kudharau maoni na mawazo ya baadhi ya wanachama pale wanapokosoa chama chao na kudhani wanaofanya hivyo ni CCM. Kwa mfano, mleta uzi kwa kutumia uelewa wake mdogo wa kufikiri ameona eti kitendo cha kupigana kwenye mkutano kwa baadhi ya viongozi waandamizi na wanachama eti kumesababishwa na CCM.

Ifike sehemu utuachane na mawazo ya kipumbavu. Jaribuni kujibu hoja za wanachama. Msijichimbie kaburi
 
CHADEMA haiwezi kuacha kuwafukuza wasaliti wa chama ambao ndiyo wauaji wenyewe eti kwa kuwa chama kitakufa.Chama kitakufaje wakati wauaji wenyewe ndio wanaofukuzwa?ni heri wafukuzwe wauaji wote waliyoko ndani ya chama ambao ni mapandikizi ya CCM ili chama kibaki kinapambana na wauaji wa nje tu ambao ni CCM.
 
God will make a way hata kanisani au mskitini ukizingua ......CHADEMA sio figure ya mtu
 
Mlikiuwa CUF Kwa Uzembe, TLP. Hapa Ni CHUMA CHA RELI Itakula Kwenu Tu Baada Ya Hapa Ni Kuwasha Ndege Nch NziMa MchaKa Mchaka!! Viva Chadema Toeni Mapandikizi Yote!!
 
Ben kinachokufa kinajulikana kijana mwenzangu ni vema taratibu za misiba mkaziandaa chama cha kupigana kwenye vikao hakiwezi kudumu.
Nakushauri uhame mara moja, sio kupiga kelele bila vitendo.. mageuzi yameshika kasi JK kaliona hilo ndio maana katoa tahadhari kwa wenzake lakini bahati mbaya sikio lakufa...
 
kwa ccm ilipofikia hata ikibaki peke yake lazima watanzania waikatae.
 
Back
Top Bottom