Gazeti la UHURU linajiendesha kwa hasara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la UHURU linajiendesha kwa hasara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DOMA, Jun 22, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wakuu
  kuna kuna jamaa mmoja anafanya kazi uhuru media na amenidokeza kuwa gazeti la Uhuru linajiendesha kwa hasara na kwa kutegemea ruzuku katika chama kutokana na kususiwa na jamii kubwa ya watanzania na hivyo kubaki kutawanywa bure katika ofisi za ccm na kubaki kusomwa na wana ccm wenyewe hapo ndipo nilipongundua kuwa kweli wafu watazika wafu wenzao
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,962
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Bado linachapishwa?
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama bado linasomwa na wanaccm wenyewe basi bado lina soko! Takwimu zao za magumashi ni 5milioni, wanachama wote wa ccm, toa milion 4 waliochukuliwa na upepo mkubwa wa M4c. Kama wanachapa nakala 2000 toa labda nakala 100 zinazogaiwa bure kwenye ofisi na vituo vya redio na runinga. Mauzo ya kusuasua ya nakala 1900 kwa Tanzania nzima sio mchezo.
  Gazeti moja ni 500 mara 1900 = 950,000/= toa gharama za uendeshaji na uchapaji.
  Bila shaka wanaweka kibindoni 1500 kama faida kwa siku ambayo ni magazeti matatu. Moja FF, Lingine Nape, na lingine shibuda.
  Watafika tu, kila jambo na wakati.
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  like this
   
Loading...