Gazeti la tanzania daima halipatikani kwenye mtandao AU NI HUJUMA?

AlamaZA NYAKATI

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
274
0
Kwa muda mrefu sana gazeti la tanzania daima halipatikani kwenye mtadao kunani?. Naamini gazeti hilo habari zake ni za ukweli na zilzochambuliwa na waandishi waliobobea. Tafadhali kama wamebadilisha address naombeni jf mnijulishe.
 
chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
2,000
Jamani nami naomba nijuzwe maana gazeti hili mie ni kipenzi no.2 wake. KAma anwani yao imebadilika watupe jamani.
 
makaptula

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
200
225
Halipatikani kweli mkuu iko kwa maintainance.

Site off-line

Free Media Website is currently under maintenance. We're Sorry for the inconvenience. We will be back shortly.
© free media limited 2011
Mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233 • faksi +255-22-2126234 • selula 0713 296570
 
Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
0
Halipatikani kweli mkuu iko kwa maintainance.

Site off-line

Free Media Website is currently under maintenance. We're Sorry for the inconvenience. We will be back shortly.
© free media limited 2011
Mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  faksi +255-22-2126234  selula 0713 296570

huu ndio bwana Makaptula hao wanaosema wanalipata kwa sasa siamini.
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,471
2,000
Halipatikani kweli mkuu iko kwa maintainance.

Site off-line

Free Media Website is currently under maintenance. We're Sorry for the inconvenience. We will be back shortly.
© free media limited 2011
Mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233 • faksi +255-22-2126234 • selula 0713 296570

Tanzania Daima - Sauti ya Watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom