LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
<br />Mimi nilishaachaga kulinunua hilo gazeti toka mwaka jana, sana sana huwa nalinunua kwa ajili ya katuni za Masudi Kipanya.
Mimi nilishaachaga kulinunua hilo gazeti toka mwaka jana, sana sana huwa nalinunua kwa ajili ya katuni za Masudi Kipanya.
Aaah kumbe amekuta sms za mapenzi, jamaa hana kosa, ni hasira tu!!!aise nipo sumbawanga jamaa kamuua mkewe baada ya kufuma sms za mapenzi ni hatari
basi kumbe jibu ulishalipata..
na kingine hilo gazeti walishasema lina tabia za kimbea zaidi wakipewa 10000 wao wanaandika jinsi mtoa hela kawaambiaje..
Ahahahaaah!!!Unalinunua au hulinunui?
Mimi nilishaachaga kulinunua hilo gazeti toka mwaka jana, sana sana huwa nalinunua kwa ajili ya katuni za Masudi Kipanya.
Majuzi nilichana gazeti immediately niliposma ripoti yao ya timbwili la Makongoro Nyerere againts magamba. Wakasema "Makongoro ambae aliwataja kwa majina..." lakini Mwananchi hawakuwataja, I was like which dunderheads write the news in bongo? Makongoro aliwataja kwa majina, Nape aliwataja kwa majina, Chiligati aliwataja kwa majina, LOWASSA, CHENGE, ROSTAM...nini cha kuogopa?...wanaogopa nini? Mbona gazeti la wenyewe wenye nchi wamemtaja? The Daily news wameandika