Gazeti la Mwananchi mna tatizo gani?

Gazeti la Mwananchi mna tatizo gani?

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
96
Gazeti la mwananchi siku hiz halipatikan kwenye mtandao kama zaman,siku hiz linakawia sana kuwekwa kwenye mtandao. Mfano mpaka muda huu saa 2 asubuhi lipo la jana tena habar moja tu the rest ni la habar za juzi! Tunaomba muweke ambalo ni la current kama zaman ili ambao huku kwetu yanatufikia jion tuweze kulisoma kwenye tovuti yenu.
 
Yupo Tido sikuizi, naona ameingia kibiashara zaidi.
Nakala zikishanunuliwa nyingi asubuhi ndo wanaweka mtandaoni
 
MKUU,HESHIMA MBELE!!
Nimesoma POST yako KWA MAKINI SANA na kugundua yafuatayo:
1/UMELITUHUMU gazeti la MWANAHALISI na kutumia TUHUMA HIZO kuTUHUMU MITANDAO kuwa sababu ya TUHUMA ZAKO kwa mtandao ulio utaja.
1.TUHUMA ni HOJA YOYOTE ambayo zikitokea HOJA NZITO ZA KUISAPOTI TUHUMA HIZO INAGEUKA kuwa
Hoja.
na kwa case yetu hapa Tuhuma ni MWANANCHI hivyo tunatafuta ushahidi (Tuna tuhumu na Ku prove kuwa TUHUMA hizo ni kweli na hivyo TUKIFIKA hapo na UKANIELEWA vizuri NITACHANGIA na UTAKUWA UMEWASAIDIA Jf members wengine kuchangia VIZURI ZAIDI!!
MY TAKE:ubongowamwananchi says thanks for this very useful post!
 
Mwanahalisi na Mwananchi ni ndugu?
 
Tarehe wanakoseaga kwenye gazeti mtandaoni. Otherwise they r OOOKEY!
 
wanaona ya kuwa khabari zote zinavujishwa humu JF na wao hawana biashara ya kufanya..........lakini wasichojua ni kuwa JF inasaidia kuwatangazia soko............na magazeti ya ng'ambo wala hayajali khabari zao kutumiwa na wengineo kwa sababu wanaelewa soko la kuuza magazeti halipo au linaelekea kuyoyoma na mbadala ni matangazo ya biashara kupitia mitandao...................magazeti hapa nchini bado yanaishi karne iliyopita.........hayaendi na wakati........utashangaa siku hizi mwananchi imeanza kuwayapitie kwanza..................censorship inside 21st Century is absurd and pathetic...........
 
MKUU,HESHIMA MBELE!!
Nimesoma POST yako KWA MAKINI SANA na kugundua yafuatayo:
1/UMELITUHUMU gazeti la MWANAHALISI na kutumia TUHUMA HIZO kuTUHUMU MITANDAO kuwa sababu ya TUHUMA ZAKO kwa mtandao ulio utaja.
1.TUHUMA ni HOJA YOYOTE ambayo zikitokea HOJA NZITO ZA KUISAPOTI TUHUMA HIZO INAGEUKA kuwa
Hoja.
na kwa case yetu hapa Tuhuma ni MWANANCHI hivyo tunatafuta ushahidi (Tuna tuhumu na Ku prove kuwa TUHUMA hizo ni kweli na hivyo TUKIFIKA hapo na UKANIELEWA vizuri NITACHANGIA na UTAKUWA UMEWASAIDIA Jf members wengine kuchangia VIZURI ZAIDI!!
MY TAKE:ubongowamwananchi says thanks for this very useful post!

mkuu sijawatuhumu,nimewauliza au kuwakumbusha tu coz last time walikuwa wanafanya vizuri lakin kwa sasa kiukweli hawaweki kwa muda muafaka gazeti lao. Na mkuu nazungumzia MWANANCHI na si MWANAHALISI japo nao sometimes wanachelewa sana kuweka gazeti lao pia. Nashukuru kwa michango yenu wadau wa JF
 
MKUU,HESHIMA MBELE!!
Nimesoma POST yako KWA MAKINI SANA na kugundua yafuatayo:
1/UMELITUHUMU gazeti la MWANAHALISI na kutumia TUHUMA HIZO kuTUHUMU MITANDAO kuwa sababu ya TUHUMA ZAKO kwa mtandao ulio utaja.
1.TUHUMA ni HOJA YOYOTE ambayo zikitokea HOJA NZITO ZA KUISAPOTI TUHUMA HIZO INAGEUKA kuwa
Hoja.
na kwa case yetu hapa Tuhuma ni MWANANCHI hivyo tunatafuta ushahidi (Tuna tuhumu na Ku prove kuwa TUHUMA hizo ni kweli na hivyo TUKIFIKA hapo na UKANIELEWA vizuri NITACHANGIA na UTAKUWA UMEWASAIDIA Jf members wengine kuchangia VIZURI ZAIDI!!
MY TAKE:ubongowamwananchi says thanks for this very useful post!

Hata wewe mwenyewe huelewi ulichoandika
 
Wakuu Tsh 800/= sio ishu mbona? Kamata hard copy yako tukuze sekta ya ajira
 
MKUU,HESHIMA MBELE!!
Nimesoma POST yako KWA MAKINI SANA na kugundua yafuatayo:
1/UMELITUHUMU gazeti la MWANAHALISI na kutumia TUHUMA HIZO kuTUHUMU MITANDAO kuwa sababu ya TUHUMA ZAKO kwa mtandao ulio utaja.
1.TUHUMA ni HOJA YOYOTE ambayo zikitokea HOJA NZITO ZA KUISAPOTI TUHUMA HIZO INAGEUKA kuwa
Hoja.
na kwa case yetu hapa Tuhuma ni MWANANCHI hivyo tunatafuta ushahidi (Tuna tuhumu na Ku prove kuwa TUHUMA hizo ni kweli na hivyo TUKIFIKA hapo na UKANIELEWA vizuri NITACHANGIA na UTAKUWA UMEWASAIDIA Jf members wengine kuchangia VIZURI ZAIDI!!
MY TAKE:ubongowamwananchi says thanks for this very useful post!

Aghalabu umeweka mang'amuzi huru, hiyo ndio falsafa halisi ya mang'amuzi! Hongera mkuu wewe ni ghalacha imara wa mang'amuzi.
 
Gazeti la mwananchi siku hiz halipatikan kwenye mtandao kama zaman,siku hiz linakawia sana kuwekwa kwenye mtandao. Mfano mpaka muda huu saa 2 asubuhi lipo la jana tena habar moja tu the rest ni la habar za juzi! Tunaomba muweke ambalo ni la current kama zaman ili ambao huku kwetu yanatufikia jion tuweze kulisoma kwenye tovuti yenu.
Bora lisionekane Maisha Katika Mtandao kwani limepoteza Sera na mwelekeo wa kuwa ni gazeti huru lenye kufuata maadili na uadilifu, limekuwa ni gazeti lilioloegemea Chama Kimoja cha Siasa nacho ni CHADEMA, kiasi ambacho ni karaha na aimbu Kwabodi nzima ya Mwananchi, na hasa kwa Mhariri wake mkuu umeliuwa gazeti halina thamani sawa na karatasi ya CHOONI.Hivi ni uandishi gani wa habari huu wa Mwananchi ambao wanathubutu kuandika stoiri zaidi ya 9 kwa siku moja za CHADEMA Kama hili silo gazeti la chama ni la nani ? haya ndio maadili ya uandishi sitaki niseme bila ya mfano hai ni huu ufuatao wa toleo la ijumaa iliopita tarehe 6 ukarasa wa mbele PIGO CHADEMA,SABODO AIPONGEZA CHADEMA,huo ni ukarasa wa kwanza uk 2. stori ya picha SABODO SLAA,MBOWE MAHAKAMA EPUSHENI MACHAFUKO,WAZAZI,WANAFUNZI WAMLILIA LEMA.UK 3.SLAAAWATULIZA WAKAAZI WA ARUSHA MJINI KUHUSU HUKUMU.OFISI YAMBUNGE YAZINGIRWA KABLA YA HUKUMU. GOBLESS LEMA AINGIA KATIKA SIASA,. LEMA AWARUKIA VIGOGO KUHUSU KUSHINDWA KESI. LEMA SITAKI KUKATA RUFAA. STORI YA PICHA MSAADA.UK 6. TAHARIRI. UK 20 WOTE NI HABARI PICHA ZA CHADEMA. UK 21.MNYIKA AIPA WIZARA YA NISHATI NA MADINI SIKU 3.UK.23.SLAA AWATULIZA WAKAAZI WA ARUSHA. Ni stori kwa ujumla stori 15 ni aibu Kwa MENEJEMENTI yote ya Mwananchi tunailaani kwa nguvu zote kwa kuwa wao ndio chanzo ya kubaka demokrasia na kuviuwa vyam,a vyengine vya upinzani.

Tunawaomba waTanzania na hasa Mabaraza ya Habari waache kufumbia macho uchafu huu wa akina TIDO MHANDO NA GENGE LAKE LA WABAKAJI NA WAUWAJI WA VYAMA VYENGINE VYA UPINZANI
 
Back
Top Bottom