Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Wadau wa JF.
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo Januari 31, wanawataarifu kuwa kuanzia Februari mosi bei itakuwa Sh800 kutoka Sh500.
Kutoka shilingi 5oo mpaka 8oo du ni kali sijui tunaenda wapi ?
Hata mimi nimeshangaa sana kwani mapato ya magazeti, duniani kote, sio bei ya gazeti bali matangazo ya biashara ndani ya magazeti, na Mwananchi kwa hili wapo juu sana compared na magazeti mengine. Vinginevyo, unaweza hata kulitoa gazeti bure, ili mradi uwe na circulation nzuri tu itakayokupa good ratings.
Tutakuwa tunasoma kwenye website sio lazima kubebana na makaratasi
Tutakuwa tunasoma kwenye website sio lazima kubebana na makaratasi
Karne gani hii mkuu?Na wasipoweka taarifa zao kwenye mtandao utasoma wapi shehe wangu?
Karne gani hii mkuu?