Gazeti la Mwananchi kupanda bei

Sku hizi hapa kwetu dogo mmoja mwuza magazeti gazeti la tanzania daima ukienda saa 3 hulikuti linakuwa limekwisha gazeti la uhuru na habari leo anauza nakala mbili yaani anamwuzia mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa halmashauri sasa hili la mwananchi anarudisha lundo lote watu wamegoma kulinunua
 
Back
Top Bottom