Gazeti la Mwanahalisi limepata hasara ya shilingi Bilioni 6

Gazeti la Mwanahalisi limepata hasara ya shilingi Bilioni 6

Chagua Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

usitake kutukumbusha bilioni 2 tunazolipa kwa wale wachina walokamatwa na samaki,nyumba alizouza akammilikisha mwanamke,kivuko kibovu,barabara zisizo na viwango...hapa Lowassa atosha
 
Hii ni habari kwa mujibu wa news ticker ya ITV usiku huu(habari kamili sikuipata)

My take;
Maamuzi mengine ni janga kwa Taifa tuwe makini na viongozi wenye maamuzi kama haya.
Kubenea atalipwa tu... cha maana aandae kodi yake ili TRA wasimletee darama
 
Back
Top Bottom