Gazeti la Mwanahalisi limepata hasara ya shilingi Bilioni 6

Gazeti la Mwanahalisi limepata hasara ya shilingi Bilioni 6

serikali mpya ya UKAWA inakabiliwa na mzigo mzito sana wa madeni .
 
..nilijua tu, sasa nani wakuja kulipa hayo mapesa.?! itabidi Kubenea awe na moyo wa huruma, akili fupi za magamba zisiwaumize wa tz..
 
wakiingia magambaz tutazilipa aisee ila ukawa wakiingia tutapona .
 
yeye alikuwa analipa kodi kiasi gani maana katutajia hasara hakuongelea kuhusu kodi
Am sure hukumu iliyotolewa hujaiona na kuisoma,hivi hata kuiskia hujaiskia?Hukumu imeamuru kampuni ya Hali Halisi ambayo ndio wachapishaji wa Mwana Halisi walipwe kuanzia siku ambayo gazeti lilifubgiwa,hapo ndo utaipata hiyo Bil 6.....Sasa mambo ya kodi yanahusikaje hapo?Vinginevyo TRA nao waje wasema jamaa hawakuwa wakilipa kodi
 
Hiyo Hasara haina tofauti na Hasara aliyotupatia Mzee wa Kuwait kwenye maamuzi yake ya kukurupuka kuhusu meli ya samaki ya wachina.
Ofcourse,,,,,nadhani Mama MUKANGALA huko alipo anasononeshwa na uamuzi wake,ingawa kabla ya hukumu naamini alisifiwa sana,hii ni hasara ya kujitakia na ni kete kwa sasa kwenye kampeni,hata jimboni kwake
 
..nilijua tu, sasa nani wakuja kulipa hayo mapesa.?! itabidi Kubenea awe na moyo wa huruma, akili fupi za magamba zisiwaumize wa tz..
Pesa zitalipwa na serikali ila ni pesa za wananchi
 
Halafu MwanaHalisi likianza kuja mtaani kuna uwezekano likaanza na habari ileile ambayo iliifanya lifungiwe

Kubenea alikuwa anaonyesha habari yenyewe iliyofanya Mwanahalisi lifungiwe ingawa serikali kupitia huyo mama waziri hawakusema kosa ni lipi
 
Back
Top Bottom