Hapo utakuwa unamaanisha Mahakama iamuru mali za serikali zikamatwe maana gazeti halikufungiwa na mtu binafsi bali serikali kupitia waziri....patamu hapo
Suluhu ni kuitoa ccm madarakani
Mdau mi si mwanasheria,ila kwa mtazamo huo wa kwako inamaana mwajiri ambaye ni serikali ndo akamate mali za waziri alolifungia,ila mahakama ita deal na serikal tu,haijumi MUKANGALA as her,inamtambua kama waziri as serikaliSerikali inaongozwa na watu, sasa hao waliotoa andishi au maagizo ya hilo gazeti bila kuzingatia sheria na kanuni ndio hao ninao zungumzia mali zao zikamatwe na zifilisiwe kuchangia deni litakalo lipwa ili basi iwe fundisho kwa wengine wanaotumia madaraka yao vibaya! Umeelewa?
Kwani sasa hivi watu wote wanalipa kodi?Ili usilipe kodi or? Watu wenye akili za kushikiwa bana, ni shidaa!
sasa yule mama anayesuka twende kilioni anazo bil 6 ?Mkuu inabidi mahakama ikamate na kuziuza mali za wote wale ambao walio husika kulifungia ili zichangie hilo deni!
Na ndo ataanzia hapohapo alipoishia.............Kubenea alikuwa anaonyesha habari yenyewe iliyofanya Mwanahalisi lifungiwe ingawa serikali kupitia huyo mama waziri hawakusema kosa ni lipi
tatizo ni je yule mama anayesuka twende kilioni anayo hiyo hela ?Mkuu inabidi mahakama ikamate na kuziuza mali za wote wale ambao walio husika kulifungia ili zichangie hilo deni!
tatizo ni je yule mama anayesuka twende kilioni anayo hiyo hela ?
Pesa zitalipwa na serikali ila ni pesa za wananchi
ukishajua alikuwa analipa kiasi gani ndio utajua kama hiyo pesa bilioni sita ni sahihi hii nayokupa ni elimu tena ya uhasibu sio kukurupuka ndio maana mkapa aliwaambia ukweli makasema anawatukanakuwa logical kidogo,hapo tra ndo waseme pia kwa kulifungia hilo gazeti wamepoteza kodi kiasi gani. kipaumbele 1. elimu 2.elimu 3.elimu.
ukishajua alikuwa analipa kiasi gani ndio utajua kama hiyo pesa bilioni sita ni sahihi hii nayokupa ni elimu tena ya uhasibu sio kukurupuka ndio maana mkapa aliwaambia ukweli makasema anawatukana
kuwa logical kidogo,hapo tra ndo waseme pia kwa kulifungia hilo gazeti wamepoteza kodi kiasi gani. kipaumbele 1. elimu 2.elimu 3.elimu.