Gazeti la MwanaHalisi lapewa saa 24 kuomba radhi kwa kumchafua Rais Magufuli

Mamlaka my ass, Mamlaka ya Rais Inatokana na Katiba, Akishaivunja Katiba Ni Kibaka tu huo ndio Ukweli na Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu, Mvunja katiba aliyoapa akuiheshimu na Kuilinda Ni Mhalifu na Kibaka!
washaaomba radhi sasa wee unaekula kwa mamaako ndio maana unajunya tu na domo
 
Uliona mimi nikiwapangia Mwanahalisi la kufanya? Waombe Radhi au Wasiombe Ukweli unabakia Kuwa Magufuli ni Mfisadi na Mhalifu! Mama yangu ana Miaka 84 Mimi ni mtu mzima, kama huyu mama anaweza kunilisha mimi na familia yangu basi ni Mama mwenye uwezo wa ajabu! N am proud of her.
 
Kama ambavyo wewe hukuombwa kujibu, bali usome na uelewe kama angalizo pia.

Sisi wengine siyo kama mbwa ama fisi (kama wewe, I hope), maana ni afadhali ya kuwa nyumbu kuliko kuwa kama hawa wanyama ambao hutafuta chakula chao kwa kunusa nusa tu, akipata mfupa hewala...ni wewe huyo!!

Tuishie hapa, huu ni muda wa kazi.

Nenda kafanye kazi ingalau ili watoto wako (kama unao) ama wewe mwenyewe usije lala njaa na uanze kumlaumu Rais wako tena!!

wenzio washaomba radhi kwa upuuzi walioandika uliokua ukiutetea hapa....
usiamini (na kujaribu kuaminisha kila mtu) kila kitu tu kwa mihemko na ushabiki bila kushirikisha halmshauri ya kichwa chako tena.
na usijaribu kujionyesha kuwamwerevu saaaana kadamnasini .....sababu huenda ukawa mpuuuzi wa kiwango cha lami machoni pao wajuao!
 
Umebandua huo ukweli au uongo?

Wewe kidogo nadhani una tatizo la kupima mambo interlectually. Hebu nijaribu kukusadia kidogo....

Hivi kama wewe umekwazika na matendo ama maneno ama hata mtindo wangu wa maisha kwa sbb ya inda na ujinga wako tu na mwisho wa siku ukataka kuleta shari kama mwendelezo wa ujinga wako ili mradi tu watu watuone mimi na wewe sote tu wajinga na wapumbavu...

Lakini mimi kwa werevu na ungwana wangu huku nikitambua kuwa na - deal na kichaa na mjinga flani na mwisho kuepusha aibu na shari nikakutamkia maneno haya unayotaka uyasikie ili uendelee kufurahia uchizi wako;

"Ndugu samahani inawezekana umekwazika tokana na.........sikuweza kujua ungeudhika, tafadhali naomba niwie radhi, kwa kuwa halikuwa kusudi langu wewe uwake kiasi hicho....."

Kwa werevu wako kidogo na ujinga wako mwingi unadhani kuwa mimi ni mpumbavu na mnyonge sana kwako na kwamba maneno haya yaashiria kukiri kosa na kuomba radhi kwamba nilikosea?

Hutakuwa na jibu ktk hili najua. Lakini nikusaidie kukuambia kuwa......

Ni heri kumsifia na kumpigia makofi kichaa na mpumbavu ili aendelee kucheza uchi na uchizi wake ili mwerevu nipite zangu kuendelea na safari kuepusha shari ya kurushiwa mawe na kichaa huyo ili ingalau nifike salama uendako!
 
wenzio washaomba radhi kwa upuuzi walioandika uliokua ukiutetea hapa....
usiamini (na kujaribu kuaminisha kila mtu) kila kitu tu kwa mihemko na ushabiki bila kushirikisha halmshauri ya kichwa chako tena.
na usijaribu kujionyesha kuwamwerevu saaaana kadamnasini .....sababu huenda ukawa mpuuuzi wa kiwango cha lami machoni pao wajuao!

Statement na Msimamo wangu hauna Uhusiano na Mwanahalisi Kuomba au kutoomba Msamaha. Ukweli Unabaki Kuwa Magufuli ni Mwizi, alikwapua 2.7 Bln za Walipakodi na Kuhonga nazo Wabunge wa CCM milioni 10 Kila mmoja, aje hapa akanushe, Akikaa kimya anakubaliana na Madai haya kwamba yeye ni Mwizi na Mtoa Rushwa!
 
Hawa wanatumia ujinga wa baadhi ya wananchi kujinufaisha kisiasa. Gazeti hili likifungiwa watakua wanaumba mitandaoni eti wameonewa wakati wamefanya kusudi kabisa. Wewe tangu lini shirika la elimu kibaha likawa chini ya ofisi ya raisi?
 
Kama upo upo tu na utasemwa tu.
Great way to go up is to be willing to touch the earth.
Mwanahalisi just go down.
 
Statement na Msimamo wangu hauna Uhusiano na Mwanahalisi Kuomba au kutoomba Msamaha. Ukweli Unabaki Kuwa Magufuli ni Mwizi, alikwapua 2.7 Bln za Walipakodi na Kuhonga nazo Wabunge wa CCM milioni 10 Kila mmoja, aje hapa akanushe, Akikaa kimya anakubaliana na Madai haya kwamba yeye ni Mwizi na Mtoa Rushwa!
well spot on bruv...but it wasnt meant for you mkuu.
 
Umebandua huo ukweli au uongo?

Wewe kidogo nadhani una tatizo la kupima mambo interlectually. Hebu nijaribu kukusadia kidogo....

Lakini mimi kwa werevu na ungwana wangu huku nikitambua kuwa na - deal na kichaa na mjinga flani na mwisho kuepusha aibu na shari nikakutamkia maneno haya unayotaka uyasikie ili uendelee kufurahia uchizi wako;

Ni heri kumsifia na kumpigia makofi kichaa na mpumbavu ili aendelee kucheza uchi na uchizi wake ili mwerevu nipite zangu kuendelea na safari kuepusha shari ya kurushiwa mawe na kichaa huyo ili ingalau nifike salama uendako!

ni vizuri kutunza kumbukumbu za ulichoandika 'Mr.Interlectual'....
'...........HAWATAOMBA RADHI NA HATA WAKIOMBA....' mpaka hapa i knew you're a WACK who deems himself to be Einstein.
now wameomba msamaha tofauti na 'maapizo ya kitaalamu' toka kwa wewe uchambuae mambo interlectually(sijui ulishindwaje kuona 'kosa' liliokua waz mno kwenye habari ile ya mwanahalisi) you tryna twist things zifananie upuuz unaoamini.
Kwangu hili lilisha tangu siku wamepewa saa 24 as kosa lilikua waz na wameomba msamaha nand thats what i believed in the first place...kinachotokea ni uthibitisho tu.
Again,usjaribu kujionyesha kuwa mwerevu saaaaana mbele ya kadamnasi........sababu huenda ukawa mpuuzi wa kiwango cha lami machoni pao wajuao!
 
Rubuye, hakuna kosa lolote ktk context ya kilichoandikwa na gazeti!

Soma vizuri kilichoandikwa na walioomba radhi kama kweli wewe ni mtu mwenye fikra huru, utaelewa...

Kilichofanyika hapo ni kumpisha mwehu apite zake na mawe yake asije akapiga mtu!!

Yaani uanze kuzozana na mwehu mwisho wa siku ujeruhiwe? Si na wewe utaonekana ni mwehu tu?

Kwa hili kwa mimi, nashauri mjadala kati yangu na wewe uishie hapa maana kama hujanielewa, labda uombe msaada idara ya habari na maelezo wakueleweshe!
 
Hata mimi nilivyoisoma asubuhi nikasema Israel kaguswa hapa kutakucha kweli bila karipio? Ningeshangaa, Rais kaguswa.

Mapilato tupieni na jicho pale kwenye hazeti letu la chama chetu tukufu TAZAMA nalo linatukana sana viongozi wa upinzani hata Kama hatuwapendi
acha maswala ya uchama katika mambo ya msingi yenye tija kwa taifa
 
Issues kama hizi JK alizipotezea mkamuita dhaifu mswahili mnywa kahawa...haya sasa kumekucha Kubenea JK aliwadekeza sana.
safari hii Nyoka harambi unga,, yan wao wakimwaga mboga wengine wanamwaga ugali
 
Back
Top Bottom