Gazeti la MwanaHalisi lapewa saa 24 kuomba radhi kwa kumchafua Rais Magufuli

Habari waliyoandika Mwanahalisi ni dhahiri shahiri kuwa ni ya kizushi. Hili gazeti lifungiwe tu tena ikiwezekana lipewe kifungo cha "maisha". Lifutwe kabisa kwenye uso wa Tanzania na hao wahariri wake washughulikiwe ipasavyo. Lazima ifike mahali tuheshimiane, na kama kuna watu hawataki kuheshimu kwa utashi wao, basi "fimbo" haina budi kutumika.

Hii sio Serikali ya mchezo mchezo, kama walizoea kumtia vidole JK machoni na akawachekea chekea, sasa watajua JPM ni namba ingine kabisa.
 
Huyu Abbas mweupe sana!!Hawa jamaa wanadhani watakuwa wafuta viatu wa watawala miaka yote

Hata Jammeh alisema atakuwa Rais wa Milele,akifikiri hakuna mwisho wa pumzi ya binadamu.

Hii sheria ya Habari ni janga sana...Viongozi wa Afrika ni wa ajabu sana,Babu zao waliungana kupingana na sheria za hovyo,wao wanaungana kurudisha sheria zilizowaunganisha waafrika miaka 50 iliyopita kuzipinga.

Namkumbuka Kaburu P.W.Botha...alipokuwa PM wa South Africa,alijisemea kuwa Muafrika hawezi kamwe kujitawala,ukitaka muafrika auwe wenzake,awafunge na kuwatesa,basi mpe madaraka.

Maana kwa asili muafrika hupenda kutawaliwa kuliko kujitawala.Hivi ni lini kwa mfano huyu Abbasi anaweza kulichukulia hatua gazeti la UHURU au kile kipeperushi cha kina Charles Charles cha TAZAMA?

Kweli Lowassa ni "fisadi" lakini Sumaye naye ndio walewale.Hawa wote walikuwa ktk baraza moja na aliyeko jumba jeupe kwa sasa.Hawa wote ni kundi moja...Wakati mmoja anauza nyumba za serikali mpaka kwa mipango yake ya kando na kwa wadogo zake waliokuwa na ajira ya muda serikalini.Hawa wote lao moja.

Nchi hii inatakiwa ifanyiwe "formating" kama memory card!!Wanakimbizana na vimaneno vidogo vidogo wakati kuna mambo makubwa ya kukimbizana nayo.

Wanaiwahi Mwanahalisi ndani ya masaa 24 maana wanajua week ijayo inakuja na Ukweli juu ya Ufisadi wa UDA na kauli ya Rais ya Mwanza ya kumtaja Kisena kama mtu aliyeifilisi Nyanza(Chama cha Ushirika cha Nyanza) na leo anaamua kumkabidhi UDA kwa bilioni 5.8.

Uvyama unatumaliza....Si Chadema wala CCM!!Ndio maana hata wewe Dafa umeleta hili "kikada" zaidi.Kampani yako yote ya kina Makonda,Hapi,Kimeta wa Mpui na kina Kayombo wamepata vyeo.Umebaki wewe na kina Zenda
 
Hata mimi nilivyoisoma asubuhi nikasema Israel kaguswa hapa kutakucha kweli bila karipio? Ningeshangaa, Rais kaguswa.

Mapilato tupieni na jicho pale kwenye hazeti letu la chama chetu tukufu TAZAMA nalo linatukana sana viongozi wa upinzani hata Kama hatuwapendi
Tena tazama hata aibu hakuna kwannn hafungi?Aibu kuona huwez kuongea lugha ya malkia !inchi gizan
 
Huyu Abbas mweupe sana!!Hawa jamaa wanadhani watakuwa wafuta viatu wa watawala miaka yote

Hata Jammeh alisema atakuwa Rais wa Milele,akifikiri hakuna mwisho wa pumzi ya binadamu.

Hii sheria ya Habari ni janga sana...Viongozi wa Afrika ni wa ajabu sana,Babu zao waliungana kupingana na sheria za hovyo,wao wanaungana kurudisha sheria zilizowaunganisha waafrika miaka 50 iliyopita kuzipinga.

Namkumbuka Kaburu P.W.Botha...alipokuwa PM wa South Africa,alijisemea kuwa Muafrika hawezi kamwe kujitawala,ukitaka muafrika auwe wenzake,awafunge na kuwatesa,basi mpe madaraka.

Maana kwa asili muafrika hupenda kutawaliwa kuliko kujitawala.Hivi ni lini kwa mfano huyu Abbasi anaweza kulichukulia hatua gazeti la UHURU au kile kipeperushi cha kina Charles Charles cha TAZAMA?

Kweli Lowassa ni "fisadi" lakini Sumaye naye ndio walewale.Hawa wote walikuwa ktk baraza moja na aliyeko jumba jeupe kwa sasa.Hawa wote ni kundi moja...Wakati mmoja anauza nyumba za serikali mpaka kwa mipango yake ya kando na kwa wadogo zake waliokuwa na ajira ya muda serikalini.Hawa wote lao moja.

Nchi hii inatakiwa ifanyiwe "formating" kama memory card!!Wanakimbizana na vimaneno vidogo vidogo wakati kuna mambo makubwa ya kukimbizana nayo.

Wanaiwahi Mwanahalisi ndani ya masaa 24 maana wanajua week ijayo inakuja na Ukweli juu ya Ufisadi wa UDA na kauli ya Rais ya Mwanza ya kumtaja Kisena kama mtu aliyeifilisi Nyanza(Chama cha Ushirika cha Nyanza) na leo anaamua kumkabidhi UDA kwa bilioni 5.8.

Uvyama unatumaliza....Si Chadema wala CCM!!Ndio maana hata wewe Dafa umeleta hili "kikada" zaidi.Kampani yako yote ya kina Makonda,Hapi,Kimeta wa Mpui na kina Kayombo wamepata vyeo.Umebaki wewe na kina Zenda
Umenena mkuu
 
Mwanahalisi inashindwa kujitambua kama ni gazeti linalosomwa au karatasi ya vitumbua. Halina hadhi tena machoni pa wengi
 
Kama nikweli haina shida, waandishi ni watu werevu mno, najua wataomba radhi katika mtindo ambao hautawaathiri. Kuna kitu kinaitwa Defamation, waandishi wanakijua na wanajua baada yakufanya defamation nini kitatokea. Sidhani kama itawashtua sana taarifa hiyo yakuomba radhi.
 
Back
Top Bottom