Kuanzia leo Julai 30, 2012; Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa na serikali kwakuwa linadaiwa kuandika habari za uchochezi.
CHANZO: TBC1
Wajameni serikali hii inataka kutufunga mdomo tuendelee kuwa gizani tusijue madudu yao.
Pole sana KUBENEA tupo na wewe habari zako za kiuchunguzi zinatusaidia sana na ndizo zinazotufungua macho tujue nchi yetu inavyoliwa.
hayo mengine hayafungiwi kwa sababu yanakumbatia uozo wa chama chenu ccmBora hata limefungiwa, linataka kulitumbukiza Taifa katika machafuko hili gazeti, mbona Magazeti mrngine hayafungiwi?
Magazeti mengine yaanzie hapo mwanahalisi lilipoishia,tunataka magazeti yaandelee kuandika ukweli....yakifungiwa yote then safari ya kwenda magogoni itakuwa imekamilika
mwambie smigwa amuulize pinda. Maana chadema kwa udini?
mbona radio imani inayohubiri chuki za kidini kila siku haifungiwi?? kuna double standards kwenye media???
Fungieni na gazeti la AR NUUR, nA Radio Imani kama sababu ni uchochezi
Gazeti la mwanahalisi limefungiwa kwa muda usiojulikana kutokana na makala za uchochezi.
source:TBC1 dira ya mchana.
Magazeti mengine yaanzie hapo mwanahalisi lilipoishia,tunataka magazeti yaandelee kuandika ukweli....yakifungiwa yote then safari ya kwenda magogoni itakuwa imekamilika