Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.

2 Samuel 13:15
Kweli dunia duara wapendanao ndio wachukianao and vice versa
 
Sasa hivi mh makonda anamtoto so habari za ulinzi sijui ving'ora vitamsumbua mtoto subiri akuwe ulinzi utarudi
ha ha motto a chupa watu wenye roho mbaya na damu za atu mikononi wanaweza kulea kweli
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inadaiwa kuwa amefutiwa ule ulinzi mkali aliokuwa akipatiwa.

Hii story imeandikwa kwa kina katika gazeti la kichambuzi la Jamhuri.

Nimetafuta matini yake mtandaoni bado sijapata. Nitaiweka full nikifanikiwa kuipata.

Au kuna mwenye nayo?View attachment 813234
kidogo kidogo jeuri inapunguzwa.. tunasubiri iishe kabisaaaa
 
Moja ya jeuri kubwa ya Bashite ilikuwa vyombo cha ulinzi vinavyomzunguka..

Ukiisoma body language ya Bashite hivi sasa hayupo sawa..

Toka kuwe na zile tetesi za jamaa kutaka kummwaga na hasa kwa hizi habari za kwamba hawatizamani usoni na Baba yake, mambo sio Shwarii tena kwake..

Za chini ya Kapeti ni kwamba hata mwezi huu July alikuwa aende US, Baba akaweka kigingi..hakuna kusafiri.
Hivi zile container issue yake imeishaje? Au baba alifumba macho?
 
Nazani... huyu mtu atakuja tumbuliwa kipindi cha kurudi ktk uchaguzi wa 2020 ili iwe gumzo kubwa kwa wananchi waweze piga kura ya ndio... huyu amewekwa kiporo kama asset ya baadae... ili wapinzani washindwe pa kusemea ktk kampeni zijazo...
...hapa na Buguruni
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inadaiwa kuwa amefutiwa ule ulinzi mkali aliokuwa akipatiwa.

Hii story imeandikwa kwa kina katika gazeti la kichambuzi la Jamhuri.

Nimetafuta matini yake mtandaoni bado sijapata. Nitaiweka full nikifanikiwa kuipata.

Au kuna mwenye nayo?View attachment 813234

Sidhani kama ni entitlement ya RC kuwa na kikosi cha ulinzi, labda kama kuna tishio la usalama wake. Kama tishio hilo limethibitiwa ni sahihi ulinzi huo kuondolewa
 
Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.

2 Samuel 13:15
mhhh hii habari nzito nyuma yake
 
mnazugwa tu hapo
hivi mnamuamini mchumia tumbo jocktan manyerere!!!
hapo mnalengeshwa mjichanganye mkutane na AK 47
 
Back
Top Bottom