Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

No sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa hali halisi ya media tunayopitia sasa ya the law of the jungle. Only the strong and the adaptive media ndio wata survive, Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!. Mimi mwenyewe na kale ka PPR changu, tuko ICU tunapumulia mishine!.
P
poleni sana kwa kweli.
Nalog off
 
Pole sana. Naona vijana wa average iq hawakuelewi, wanakushambulia tu! Pathetic! Ila sio makosa yao labda ya wazazi wao.
 
Pole sana. Naona vijana wa average iq hawakuelewi, wanakushambulia tu! Pathetic! Ila sio makosa yao labda ya wazazi wao.
Hapana mkuu usiwahukumu hao vijana kwani lugha aliyokuwa anaitumia Pascally ilikuwa tata sana
 
Hiyo inaitwa kilio cha mtu mzima
Law of the Jungle . Mwenye nguvu mpishe.... Kaka Pascal Mayalla nakuelewa sana. Pamoja na kwamba jina lako kwa lugha yetu ya Kisukuma maana yake ni NJAA lakini hata ulivyo sasa naelewa vizuri umekubali yaishe . Ila nitapingana nao wote wanaosema wewe una roho ya kikatili. Pamoja na ku- compromise bado una roho njema na mcha ni Mungu kwa kadiri ya uwezo wako.
 
Elimu....elimu...elimu....hospitali ya KCMC inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), siyo Catholic!!! Ukumbuke vile vile kuwa Muhimbili National Hospital no hospitali ya rufaa ya taifa, na inapokea rufaa kutoka hospitali za mikoa, kanisa na binafsi. Elimu.....elimu......elimu.
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
 
Huyo nikati ya wasiyo jielewa
Elimu....elimu...elimu....hospitali ya KCMC inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), siyo Catholic!!! Ukumbuke vile vile kuwa Muhimbili National Hospital no hospitali ya rufaa ya taifa, na inapokea rufaa kutoka hospitali za mikoa, kanisa na binafsi. Elimu.....elimu......elimu.
 
When you have no option and you are forced to choose between the two devils, you choose the lesser!, hata yale mambo aliyofanyiwa Mwana wa Adamu, unadhani alipenda?. Yule alikuwa ni Mwana wa Mungu, na ni Mungu pamoja nasi and yet shetani alimsulubisha!. Unajua kabla hajasulubiwa alisema nini?. "Ingekuwa ni amri yangu, ningetaka kikombe hiki kiniepuke, lakini mapenzi ya Bwana, yatimizwe", unafikiri alipenda kusulubiwa?.

When you have a choice ya kujifanya shujaa na kushupaa na kusulubiwa hadi kifo, au kukubali kushirikiana na kuendelea kuishi utachagua kipi?.
P.
Had you had the opportunity to watch or listen to what I said you wouldn't have engaged yourself into this concocted discussion with malice aforethought...

Anyway, may be you are part of the game. But to preserve your dignity go to the YouTube account, everything is there.

Even the purported to be the programme I participated they got it wrong, leave the contents... anyway I wish you well in this mudslinging project
 
Mkuu Balile Karibu sana tusongeshe jf

Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.

Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Kukodi ndege unajua ni kiasi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom